Habari wapendwa, mimi ni Kijana wa umri wa miaka 27, Naishi Dar ingawa kiasili si mtu wa hapa, Natokea mikoani. Jambo lililonileta hapa ni moja kuomba ushauri.
Kifupi nimekuwa na mahisiano ya mamanzi kadha ila jambo la ajabu wote wamekuwa wakishindwa kunihimili kabisa! Na baadhi hata kunikimbia! Kimaumbile nimejaliwa kuwa na umbo la ukubwa wa wastani ila muziki wangu upo kwenye huyu ninja akishasimama!
Naweza nikampelekea miti manzi kwa dk 30 hadi 40 hivi bila kupumzika na tunavyokuja kuafikiana kuwa tupumzike mimi nakuwa bado sijafika kileleni!
Tofauti na mwenzangu ambae muda huo anaweza kuwa tayari ameshafika kileleni kwake! Kifupi mzunguko wangu wa kwanza tu hadi nafikia hatua ya kufika kileleni tunaweza kutumia saa moja na nusu hadi mawili! kitu ambacho kimekuwa kikiwashinda kabisa hawa ndege na kwa wale wababe ambao huwa wanavumilia muziki wa masaa mawili kushindwa kuingia round ya pili!
Baadhi Hunisifu ila wengine wananishutumu kuwa natumia dawa za Kuongeza Nguvu; ila Kiuhalisia Sijawahi hata kuona Rangi ya Dawa hizo za porini au za kisasa!
Wengine wanasema Naangalia porn na Kufanya masterbation kitu ambacho si Kweli!
Naombeni Ushauri ndugu nifanye Nini ili walao niwe wa kawaida kama wengine ila walao niwe naspend Dk 2 zikizidi mno 6 ili niende sawa nao. Maana Naona Imekuwa Kero na sipendi kuhatarisha tena mahusiano yangu kwa sababu ya Hili.