Nahisi nimeathirika na VVU

Shukraan sana kwa maneno ya hekima
 
Pole sana,huo ndio mpango wa shetani kuhakikisha kuwa unaishi kwa mateso na mashaka,usivunjike moyo Mungu yupo kama utaamua kumrudia na kuziacha njia za shetani,hakika utapona na kuwa katika hali bora kuliko hata ulivyokuwa mwanzoni,cha muhimu acha kuishi maisha ya dhambi.
 
Hahhaaaa inasikitisha huku inachekesha. Majuto ni mjukuu.... na kwa jinsi hii mtaisha.
Pole kijana mwwnzangu. Kapime.
 
Kwani unajua kesho utakua hai. Je ukifa kwa ajali au malaria kesho
 
Kapime mkuu ila usisahau kumuuliza dokta alishawai kuviona virusi vya ukimwa? Na kama kaviona viko kundi gani la virusi akikupa jibu ulete malejesho
 
Unagonga halafu unamfadhaiko?mfate tena umbandue tena na tena ndio upime vzri,,,Ila hawana ukimwi wale nawajua vzr,hua naendaga na vipimo vyangu mfukon,,nambeba nampima then namega,,,katika mia 3 wte hakuna mwenye ngoma so ondoa shaka,,,kamgonge tena
 
wewe ni dhaifu,
gest ya elfu tano utaingia kweli,
shauri zako;
 
Wewe ukimwi unao subiri muda tu uwasumbue wazazi wako kuchezea mavi yako ya ukubwani, Duniani kuna wanaume hawana akili ila wewe umewazidi wote
 
Wewe ukimwi unao subiri muda tu uwasumbue wazazi wako kuchezea mavi yako ya ukubwani, Duniani kuna wanaume hawana akili ila wewe umewazidi wote
Lady AJ ni miongoni mwa wadada niliokuwaa nawaheshimu humu jukwaani ila kwa bandiko hili nimekutoa thamani kabisa
 
Lady AJ ni miongoni mwa wadada niliokuwaa nawaheshimu humu jukwaani ila kwa bandiko hili nimekutoa thamani kabisa
Na sio lazima unipe thamani yako, sisi watu wazima tumechoshwa na songombingo za kijinga za watoto wa chuo
 
mkuu, usiwe na hofuu sana ,uoga wako ndo adui yako, usije konda kwa mawazo tuu ndo ukadhani ushaupata , ondoa hofuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…