Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #121
Shukraan sana kwa maneno ya hekimaI feel you brother. Pole sana... Ila inabidi uwe jasiri na ukapime... Ili ujue muafaka... maana utakonda kwa msongo wa mawazo... haujui kama Huyo Dada kaukwaa au lah... May you find happiness , courage
and peace of mind within your heart.
Angalizo: Vijana wenzangu chezeni kwa step. If you can't use condom then abstain / be celibate. Majuto haya hua yanaumiza sana. A word is enough for the wise.