vipi mkuu panatisha sana au?
NdioUlipiga kavu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mbona unamtisha?Sasa bana, we nenda kapime tu hamna namna
Mi ni jasiri ila we kiboko ambiace unapiga kavuNdio
NdioUlipiga kqvukavu mkuu
Usiogope bora ukapime kuliko kufa kwa woga kumbe mzima. Hapo ukiumwa ugonjwa mdogo tu utaona ndio habari ile ya Ambiance.Naogopa mkuu
ndio ushauri wako huu?We ulitaka uununue ukimwi kwa bei gani? Kama unaona haitoshi kamuongezee au kama nyingi kadai chenji