Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

vipi mkuu panatisha sana au?

Hapana, kama mtu anaweza kukufuata hana nguo za ndani akakushika, na pana magiza etc ... hapo ni mahali pa shida. Wewe ni mwanaume, una hisia, mahali penye majaribu ya wazi hivyo unapafuatia nini? utakuja kuvuruga future yako bila sababu yeyote kabisa! kama wapenda kwenda CLUB tafuta mahali pazuri uende, hizo hela ulizomhonga na mapombe si ungeweza kwenda maisha club then ukarudi ukalala? Ingawa mtu un
 
Hukutumia kinga? Kaa miezi miwili or mitatu kapime alafu uje na mrejesho. Ushauri wangu pia just cool down achana na pombe ona sasa unajutia wakati intention yako ilikuwa umnunulie pombe alewe ili upate x yake. Now unajutia. Nafrahi kuwa unajutia nikiwa na maana hutarudia hasa ukiwa salama.
 
Potezea na piga kitabu na hata hivyo kuna ARVs utaishi maisha yote uliyopangiwa
 
Sasa sisi tutajuaje wakati wewe ndo uliyeogelea? Nenda Angaza kapime.
 
Mi ni jasiri ila we kiboko ambiace unapiga kavu

Any way zipo nadharia mbili za kukutia moyo

1. Kama hamkuchubuana upo safe mkuu

2. Watu wengi kwa malaya wanatumia kinga hivyo malaya wengi wapo safi hawana h. I. V

Ushauri potezea endelea na masomo mkuu siku nyingine tumia kinga na ukimaliza haraka jioshe vema...

Mwisho jiamini... Wenzio hata ukipiga na ndomu kawasiwasi kanakuwepo sasa we peku lazima uwe na hofu zaidi
 
Hali hyo itakufanya uishi kwa shida kupita hata muathirika mwenyewe,unaweza kumaliza hadi miaka kumi unaumia tuu siku ukipima utashangaa hauna lakini tayaar stress na wasiwasi umekudhoofisha kuzid hat muathirika mwenyewe
 
Back
Top Bottom