Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

Sijui utaachaje, ila nakushauri uache mara Moja . Utanishukuru badae
 
umenikumbusha mshaji alitusimulia yeye aliachaje kwenda uvinza anasema baada ya kumwinbisha demu,kakubali mara hao hotel,kazima taa kubwa ikabaki ya mwanga mdogo akazama chumvini kama 20 min badae akasema wacha akasukutue kisha apige gemu,kufika bafuni kawasha taa,kufika kwenye sink kabla hajanawa akajicheki kwenye mirror anakuta kajaa damu mdomo mzima kama simba aliyemaliza kula nyama,😂😂😂😂
 
Dah jamaa una hatari sana.achana na picha za ngono
Pia chukulia siku zao wanazoingia si kwa ubaya .wewe unaekula yoyote iloko mbele yako?imagine sasa hadi mlinzi umemkuta sehemu ukasafisha ma kuondoka
Dah unahatarisha sana afya yako
Shida kubwa unajiokotea okota tu
Haina haja ya kushauliwa bali fikiria vizuri hilo eneo unalokula kazi zake ni zipi haswa na unaemla usafi wake ukoje?
Utaamua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…