Hiyo tofauti unayoikuta huko ni sawa tu na uungwaji wa hiyo nyama ili kuiongezea utamu.Mkuu! Hivi kweli unaamini nyama ni ileile? Hawa ni wanawake, hivyo wako tofauti sana. I stand to be corrected.
Mbinu ni kukana mazima😂😂😂Mkuu hii ilinikuta, kilichofata kidogo wife afe na presha aisee. Imagine kakuta picha ya mdada yuko uchi na Hadi video tumeji record tuko kitandani😂.
Alipouliza nikakwambia huyo sio mimi, Wanaume adhabu yetu huko peponi sijui itakuwa ya namna gani,😂naona moto haitoshi.
😂😂😂 NilikanaMbinu ni kukana mazima😂😂😂
Nimelichukua na nikalifanyie kazi kabisaaaMkuu jaribu kufanya hivi,
1. Jifanye unahasira, yaani jifanye ume-mmind kwelikweli kana kwamba kosa ni lake
2. Mwambie ajiandae(Aoge na avae nguo za kutokea) kisha anzeni safari, hakikisha unakahela mfukoni
3. Mkiwa njiani, mwambie "mama Solomon bila shaka unajua kilichotokea jana" basi naomba niambie ni mwanamke gani au mwanamme gani aliyekamili katika njia zake??? Yaani hajawahi kukosea??? Hakika Nikimjua huyo nitamfanyia jambo la ukumbusho
4. Bila shaka hataweza kumtaja, mkiwa mnaendelea na safari yenu, mwambie leo hii umejua siri zangu tena huenda umeijua muda muafaka ili nisiwe mgeni tena kwako bali umenijua katika yote.
5. Mwambie, kama uliweza kuishi na mimi kwa amani miaka yote hii bila kuyajua haya, je si nizaidi ya hayo ukiisha kunijua???
6. Mwisho, mwambie samahani kwa kuujeruhi moyo wako, nakuombea amani iwe pamoja nawe, NISAMEHE na kuniombea niyaepuke haya, kisha ingia dukani mnunulie vyupi, hereni, sidiria n.k kisha mrudi nyumbani kwa amani.
Kaa kimya akisumbua sana mwambie yeye ndiye sababu kwasababu hakupi utamu wa kueleweka mpaka unaenda kuutafuta njeWakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Mkuu niache kwanza......Kaleulijenganini?
Tuanzie hapo kwanza
Kaa kimya akisumbua sana mwambie yeye ndiye sababu kwasababu hakupi utamu wa kueleweka mpaka unaenda kuutafuta nje
Pia mwambie unapenda Tigo ila sasa yeye hatoi
Maswali machache naomba nijibu.....Je huyu mwanao kajua ametombewa??????unahisi asipojua kama umemtombea kuna nn kitatokea kwake????Habari yako ndugu katika ufirauni
The same scenario ilimtokea jamaa yangu hapa kazini, yule mke wake akanipigia simu na kuomba nionane nae bila jamaa yake kujua, nilishtuka kidogo, nikakutana nae Sakina kuna sehemu inaitwa Leons ina garden na rooms ndani, akanieleza mkasa mzima na akasema kaondoka kwa mume wake kachukua room hapo na atakaa for a week, basi tukapata wine huku analalamika na baada ya hapo nilimlomba usiku kucha, kesho yake na siku zinazoendelea bado namlomba, ni mtamu, wamoto pia, nadhani na wewe utalombewa very soon, niamini
It's fucken simple mwambie qfungashe mizigo yake aende kwao akajifunze nidhamu, kwa nini apekue simu yao na bila idhini Yako. Ni utovu wa nidhamu ulio pitiliza.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Achana na mwasibu atakupoteza, mimi kidogo nihame yanga kwa maneno yake.Unachoweza kufanya ni kuikana simu yako. Mwambie huitambui tu, ng'ang'ani hiyo point utanishukuru
Umeandika kaka,Ngoja niiweke akiba hii. Huwezi jua......Ukweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje [emoji16] kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa [emoji1787], ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.
Ushauri mzuri. Atembee naoUkweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.
Wewe chenga hakuna tunachoweza kukusaidia, mafundisho yanasema kilamtu atabeba mzigo wake mwenyeweWakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Sasa kwa taarifa yako kesi ishaishaaaaa🤣🤣🤣Wewe chenga hakuna tunachoweza kukusaidia, mafundisho yanasema kilamtu atabeba mzigo wake mwenyewe
Asiyejuwa kwamba kesi kama hizi zinamalizwa ndani ilikuwa ni wewe mwenyeweSasa kwa taarifa yako kesi ishaishaaaaa🤣🤣🤣
Usinambie na wewe kwa nyakati flani unakuwaga CHENGA kama ulivoniita hapo kwa comment yako ya kwanza...😏Asiyejuwa kwamba kesi kama hizi zinamalizwa ndani ilikuwa ni wewe mwenyewe
Ngoja nikujibu hapahapa baba,umalaya wako umenichosha na nikuhskikishie nakulipiza tena ntafanya kwa kutumia hela zako maana natft starehe tuuuu hivo ntafanya na yoyoyte,mwanaume limbukeni km nn,hujifunzi kwa wazazi wako??? Nakufanyia km dada angu anavomfanyia mme wake,umenizoea weweWakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Awezi kutulia huyu ana ulimbukeni mwingi saaaana kakulia familia Duni zapata vihela vya mboga anajiona mwanaumeBado una uvulana sana. Tulia, tafakari na utulie kitabia. Tena utulie kama kasuku.