Ukweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje [emoji16] kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa [emoji1787], ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.