Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Alichokitafuta kakipata sasa analia nn wakati anajua simu ya mwanaume ni kitunguu 🤣🤣🤣🤣🤣
Mi ndo mke wake,unamtetea humjui huyu,huyu kaka akishazidiwa na michepuko hata tendo ndani anasahau tena unamuomba usiku anakunyima kesho asubuhi anafata mbunye wilayani hapo ndio huwa nyanza kutft kinachomkeep bize ki
 
Nipe namba za simu za mai waifu wako nikusaidie kumtuliza.

Ndoa yako itadumu milele nakuahidi...
 
Sasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
We ndugu natamani nikutumie picha ya huyo staff mwenzie aliyezaa nae jmn....kweli ukiwa malaya huchagui
 
Kwaiyo Mkuu unaharalisha watu kufanya Uzinzi si Ndio?
Lzm aone halal maana kwao wote wako hivohivo.....anawajomba wanne wote wana watt wa nje,baba yake anao watatu nje,mdg ake ana watt wanner kila mtt na mama yake
 
Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???

Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
Kinachotokea mke huudumiwi unakaa na nyege km Huna mme ndan
 
Jamani my love come down relax,take it easy kipenzi.
 
Kwa upande wangu, hilo ni doa katika ndoa yenu. Kama alikuwa mwaminifu na mara moja moja unapomuumiza kama huwa na yeye anatamani kuchepuka, inaweza kuwa sababu ya kumfanya aanze na yeye kuchepuka. Ndoa inahitaji 'prudence' (kufanya jambo hata kama ni la kawaida lisije likaleta tafsiri hasi). Wanaume wengi wanawachukulia wake zao kama mali yao na wanaweza kufanya chochote wakidhani wao watawaelewa tu, wakati nao ni binadamu na kuna mambo yanayowaumiza. Kukosa uaminifu katika ndoa, ingawa kwa walio wengi si jambo la msingi, ndiyo nguvu ya ndoa. Mke wako akijua wewe ni mwaminifu na yeye atazidi kuwa mwaminifu, lakini akijua wewe siyo mwaminifu hapo mtakuwa na maisha ya kutoaminika (marriage of convenience). Mwombe msamaha mkeo na mhakikishie unakata mahusiano ya nje yanayoweza kuvuruga ndoa yenu. Anaweza asiamini kama unasema ukweli, lakini kama unamaanisha hivyo atakusamehe. Jaribu kuanza maisha mapya, achana kabisa na makandokando mengine. Mpe mke wako kipaumbele katika mahusiano yako na watu wengine. Ngoja kwanza nipumzike kidogo.
 
Nipe namba za simu za mai waifu wako nikusaidie kumtuliza.

Ndoa yako itadumu milele nakuahidi....

Najua fika sintojua hvo sintoumia kwa kuwa atakayefanywa ni wewe siyo mimi
 
H

Awezi kutulia huyu ana ulimbukeni mwingi saaaana kakulia familia Duni zapata vihela vya mboga anajiona mwanaume
Wewe tulia wewe .......kwa nn unaongea kama unanijua wewe??? Hvi unaufahamu vizuri uwezo wa mzee Wangu wewe???? Unajua mashamba yake wewe??? Unajua katumia bei gani kutusomesha shule za binafsi ???? Hvi unajua yule mzee ako na nyumba ngapi we??? Yule mzee kamiliki gari Akiwa na miaka 25 tena kijijini kabisaaaa miaka hiyo 80's......SIJAKULIA FAMILIA DUNI
 
Mi ndo mke wake,unamtetea humjui huyu,huyu kaka akishazidiwa na michepuko hata tendo ndani anasahau tena unamuomba usiku anakunyima kesho asubuhi anafata mbunye wilayani hapo ndio huwa nyanza kutft kinachomkeep bize ki
Tulia basi na wewe mama Solomoniii
 
Ndio maana nimekuambia umerithi vote kwa baba yako,baba ako kama wewe alikuwa na kila kitu ila alikuwa malaya kama wewe
Tulia basi na wewe mama Solomoniii
Natuliaje wakati nna nyege mme uko bize kuchepuka?? Usivyo na haya unanikandia kwa michepuko yako hujui wanafata hela zako tu has.....forgive but must revenge,umenizoea wewe safari hii nakulipiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…