Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Ishanikuta hiiWahenga "anayemaliza ni hatari sana kuliko aliyeanzisha timbwili" ngoja nijiandae kula kipapatio kimasihara.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishanikuta hiiWahenga "anayemaliza ni hatari sana kuliko aliyeanzisha timbwili" ngoja nijiandae kula kipapatio kimasihara.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mi ndo mke wake,unamtetea humjui huyu,huyu kaka akishazidiwa na michepuko hata tendo ndani anasahau tena unamuomba usiku anakunyima kesho asubuhi anafata mbunye wilayani hapo ndio huwa nyanza kutft kinachomkeep bize kiAlichokitafuta kakipata sasa analia nn wakati anajua simu ya mwanaume ni kitunguu 🤣🤣🤣🤣🤣
Nipe namba za simu za mai waifu wako nikusaidie kumtuliza.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Niondoke niende wP with nagongwa mahanadi usiku narudiNinachojua hawezi ondoka
We ndugu natamani nikutumie picha ya huyo staff mwenzie aliyezaa nae jmn....kweli ukiwa malaya huchaguiSasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
Ilikukutaje Chifu?Ishanikuta hii
Nimemchoka tabia yake........ntatomvesha kistaarabu kupunguza nyegeMke kama anakupenda atakusamehe ila kama kashakuchoka ataanza kutombesha ovyo huko nje hadi ahakikishe umejua na umeumia vilivyo.
Lzm aone halal maana kwao wote wako hivohivo.....anawajomba wanne wote wana watt wa nje,baba yake anao watatu nje,mdg ake ana watt wanner kila mtt na mama yakeKwaiyo Mkuu unaharalisha watu kufanya Uzinzi si Ndio?
Kinachotokea mke huudumiwi unakaa na nyege km Huna mme ndanNinyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???
Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
Napenda unavojiona Huna makosaHayo yote ni yeye kutaka kujua ya moyoni mwangu......ni sawa na wewe hapo wakakuscan akili yako na kila kitu waweke bayana
Umejibu kama unamjua.....Kaa kimya akisumbua sana mwambie yeye ndiye sababu kwasababu hakupi utamu wa kueleweka mpaka unaenda kuutafuta nje
Pia mwambie unapenda Tigo ila sasa yeye hatoi
Jamani my love come down relax,take it easy kipenzi.Ngoja nikujibu hapahapa baba,umalaya wako umenichosha na nikuhskikishie nakulipiza tena ntafanya kwa kutumia hela zako maana natft starehe tuuuu hivo ntafanya na yoyoyte,mwanaume limbukeni km nn,hujifunzi kwa wazazi wako??? Nakufanyia km dada angu anavomfanyia mme wake,umenizoea wewe
Umewahi ishi na mme malaya we dada??? Ukipata Mimba anakwambia toa ila yeye anazaa njeJamani my love come down relax,take it easy kipenzi.
Kwa upande wangu, hilo ni doa katika ndoa yenu. Kama alikuwa mwaminifu na mara moja moja unapomuumiza kama huwa na yeye anatamani kuchepuka, inaweza kuwa sababu ya kumfanya aanze na yeye kuchepuka. Ndoa inahitaji 'prudence' (kufanya jambo hata kama ni la kawaida lisije likaleta tafsiri hasi). Wanaume wengi wanawachukulia wake zao kama mali yao na wanaweza kufanya chochote wakidhani wao watawaelewa tu, wakati nao ni binadamu na kuna mambo yanayowaumiza. Kukosa uaminifu katika ndoa, ingawa kwa walio wengi si jambo la msingi, ndiyo nguvu ya ndoa. Mke wako akijua wewe ni mwaminifu na yeye atazidi kuwa mwaminifu, lakini akijua wewe siyo mwaminifu hapo mtakuwa na maisha ya kutoaminika (marriage of convenience). Mwombe msamaha mkeo na mhakikishie unakata mahusiano ya nje yanayoweza kuvuruga ndoa yenu. Anaweza asiamini kama unasema ukweli, lakini kama unamaanisha hivyo atakusamehe. Jaribu kuanza maisha mapya, achana kabisa na makandokando mengine. Mpe mke wako kipaumbele katika mahusiano yako na watu wengine. Ngoja kwanza nipumzike kidogo.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Fala weweUnachoweza kufanya ni kuikana simu yako. Mwambie huitambui tu, ng'ang'ani hiyo point utanishukuru
Nipe namba za simu za mai waifu wako nikusaidie kumtuliza.
Ndoa yako itadumu milele nakuahidi....
Najua fika sintojua hvo sintoumia kwa kuwa atakayefanywa ni wewe siyo mimiNgoja nikujibu hapahapa baba,umalaya wako umenichosha na nikuhskikishie nakulipiza tena ntafanya kwa kutumia hela zako maana natft starehe tuuuu hivo ntafanya na yoyoyte,mwanaume limbukeni km nn,hujifunzi kwa wazazi wako??? Nakufanyia km dada angu anavomfanyia mme wake,umenizoea wewe
Wewe tulia wewe .......kwa nn unaongea kama unanijua wewe??? Hvi unaufahamu vizuri uwezo wa mzee Wangu wewe???? Unajua mashamba yake wewe??? Unajua katumia bei gani kutusomesha shule za binafsi ???? Hvi unajua yule mzee ako na nyumba ngapi we??? Yule mzee kamiliki gari Akiwa na miaka 25 tena kijijini kabisaaaa miaka hiyo 80's......SIJAKULIA FAMILIA DUNIH
Awezi kutulia huyu ana ulimbukeni mwingi saaaana kakulia familia Duni zapata vihela vya mboga anajiona mwanaume
Tulia basi na wewe mama SolomoniiiMi ndo mke wake,unamtetea humjui huyu,huyu kaka akishazidiwa na michepuko hata tendo ndani anasahau tena unamuomba usiku anakunyima kesho asubuhi anafata mbunye wilayani hapo ndio huwa nyanza kutft kinachomkeep bize ki
Ndio maana nimekuambia umerithi vote kwa baba yako,baba ako kama wewe alikuwa na kila kitu ila alikuwa malaya kama weweWewe tulia wewe .......kwa nn unaongea kama unanijua wewe??? Hvi unaufahamu vizuri uwezo wa mzee Wangu wewe???? Unajua mashamba yake wewe??? Unajua katumia bei gani kutusomesha shule za binafsi ???? Hvi unajua yule mzee ako na nyumba ngapi we??? Yule mzee kamiliki gari Akiwa na miaka 25 tena kijijini kabisaaaa miaka hiyo 80's......SIJAKULIA FAMILIA DUNI
Natuliaje wakati nna nyege mme uko bize kuchepuka?? Usivyo na haya unanikandia kwa michepuko yako hujui wanafata hela zako tu has.....forgive but must revenge,umenizoea wewe safari hii nakulipizaTulia basi na wewe mama Solomoniii