Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

kwanza wewe ni mpuuzi,lakini huo upuuzi wako tuuche,tujadili suala hili,mbona ni rahisi tu,nyie si mmeona kwa raha na kwa shida,basi sasa ndio wakati wa shida,mwambie mkeo,avumilie
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 hii inaimarisha upendo ila kwanza kikubwa ni kukana mashataka kwa namna yeyote ile😁
 
Kubali dhambi yako Toba ya dhati kwa Mungu na Mkeo ,Kisha mpe Uhuru Mkeo akuhukumu ,
Vipi ww ndio ungekuta hizo vitu kwa simu yake ungempa muda hata wa ku Tubu uovu wake ? ukipata jibu utatekeleza ushauri huu
 
Kubali dhambi yako Toba ya dhati kwa Mungu na Mkeo ,Kisha mpe Uhuru Mkeo akuhukumu ,
Vipi ww ndio ungekuta hizo vitu kwa simu yake ungempa muda hata wa ku Tubu uovu wake ? ukipata jibu utatekeleza ushauri huu
Akubali dhambi kwa mke hivi wewe una akili kweli?😁 Unataka jamaa ateseke sasa na hata milele???
 
Dogo huna akili.
Simu janja USIITUMIE kwa ujinga Wala usiweke password ili kila Mara aichokonoe.
Nunua kasimu ka batani vile vya elfu 12 wanavyotumia warombo walevi. Uwe unakiacha ofisini au kwenye gari.
Mwenzio simu yangu haina password. Nikienda bar naiacha sebuleni au chumbani. Huko nachati ninavyopenda na Kasimu kangu ka Siri.
Hata nilewe mbege haka Kasimu hakafiki nyumbani.
 
Mi niliweka password baada ya kuona kero zinazidi za kupekua pekua simu. Mwanzo simu ilikuwa huru ila siku moja moja akikuta Ex kanijulia anaanzisha mdomo wakati anamjua kabisa mtu kaolewa na umbali alipo na mimi hatuwezi kuonana. Ukitumiwa sms na demu maswali kibao.
 
Atajitafutia kipozeo kukukomoa
 
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo
Daaah. Nimelia sana😭😭 yote tisa hadi kuzaa njee ya ndoa yaani wewe kaka ungejuwa jinsi inavyouma unge kuwa ushajiwa muda huu.
 
Kwamba sim yako haina password? Pamoja na mambo yako bado unaruhusu mkeo kunyatia ba kuingia kwenye sim yako? Sim yangu ina password zaidi ya moja na ht siku moja siiachi wazi bila kulock
Yajayo yana furahisha, siku za mwizi ni arubaini
 
nipe namba zako nikupigie nikutukane sana kwanini umeondoka na simu yangu

halafu utapata sababu ya kumwambia mkeo hio simu si yako toka muda sana uliikopa na ukashindwa kuilipia..

au kodi mtu aje aibebe tena na mgambo juu😅😅😅
 
kwaiyo izo
kwaiyo izo text na call na pcha ambazo ulikua hufuti ulikua unaweka ukumbusho wa nini?? Uzifanyie Happy anniversary??

Kuna muda nilikua hivi lakin kuna siku nikajiuliza na hifadhi hivi vitu vyote vya nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…