Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Hakuna kitu kitachotokea kuwa na amani,siku siku zote wanawake wanapenda ushindani Sana,Mimi mke wangu ameshanifumania sana lakini nashangaa upendo ndo unazidi,mfano Kuna siku nimepanga kukutana na manzi mmoja,nimeenda kuoga narudi namkuta wife na simu yangu nilishituka,kumbe nilisahau kufuta voice call alisikia maongezi yote,isee ilikuwa siku ngumu lakin yaliisha maisha yaliendelea Kama kawaida,wewe ulichobugi umeacha ushaidi mwingi sana,lakin naamini yataisha kila heri!
 
Mke kama anakupenda atakusamehe ila kama kashakuchoka ataanza kutombesha ovyo huko nje hadi ahakikishe umejua na umeumia vilivyo.
 
mm huwa nawaza unabaki na picha, message kweny simu ili ugundue nn?? Bro kama unacheat make sure unakuwa Huna ushahidi wowote kweny simu yako hata kama mkeo/ mumeo huwa hashiki simu yako. Ujue ipo siku utaumbuka tuu.
 
Mungu anakuuuliza katika
Mithali 5:20; Mwanangu! Mbona unashangilia malaya, Na kukikumbatia kifua cha mgeni?
Umeshau katika
Mithali 6:32-33 amekueleza nini?Mungu anasema katia Mithali;
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
jitafakari sana kwanini umeingia kwenye ndoa?
 
Mchimba kisima huingia mwenyewe.

Kula chuma hicho Mwaisaa....

Yaani unafanya uhalifu halafu unaacha footprint, hiyo ni akili au...
 

Mkuu umenitumia ujumbe PM bahati mbaya haufunguki , natamani ningeusoma juanita
Mkuu umenitumia ujumbe PM bahati mbaya haufunguki bila shaka kuna kingine cha ziada ningepata. Ahsante sana
 
Sasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
Nyama ni ile ile ila uzani tofauti mkuu ni kusema kuchepuka sio kuzuri kwa ajili ya familia bora na wanao kujenga uaminifu na utii ila kusema ukweli michepuko inajua waeza enda round hata kumi bila kujua kuliko mke ndani ukipiga kimoja hadi kesho kutwa kwanza hata hicho kimoja hana muda yeye anawaza watoto tu
 
Ahahahah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndugu Kaa kimya, akiongea sana mwachie nyumba kaanze maisha mapya utapata amani kuliko kuishi kwa mashaka na visasi.
 
sikumbuki lini nimeangalia simu ya mrs wangu, nilishamwambia kama atataka kukagua simu yangu ajiandae kwa mengi na awe na uhakika wa kushinda vita hiyo.

Nilishamwambia, asifikiri nina majanga kwenye simu, ila nina issues sensitive humo pampja na mambo ya ofisini. Uzuri alishaelewa, sijui kama huwa anaiba anakagua, sjawahi kusikia malalamiko.


Huna sheria nyumban kwako wewe. Jifunze kuweka sheria, lakini acha utoto, ukiwa na mke inabidi uwe na akili extra mile ahead.
 
Ahsante sana mkuu kwa kutumia muda na akili yako kunipa ushauri juu ya huu ujinga wangu. Nitafanya hvo mkuu
 
Braza nimekuelewa kwa ukubwa wake , shall implement this.....
 
kwanza wewe ni mpuuzi,lakini huo upuuzi wako tuuche,tujadili suala hili,mbona ni rahisi tu,nyie si mmeona kwa raha na kwa shida,basi sasa ndio wakati wa shida,mwambie mkeo,avumilie
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…