Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???

Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
Tungekuambia, lakini utayazagaza.
 
Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???

Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
Tungekuambia, lakini utayazagaza.
 
Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???

Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
Tungekuambia, lakini utayazagaza.
 
Ni bora akagongwe kwa kulipiza kisasi kwa sababu anajua kabisa na mm nimemcheat ila siyo ile mwanaume umenyooka huna makandokando yoyote ila wana wanajichapia tu, by the way hata kama wakichapa sawa tu as long as nitakuwa sijui.
Unajicomfort....jifunze kuwa repetant, watoto wako watakua stable sana. Umepanga kuachana na mishangaz ama bado bado wala ujana...???

Yote kwa yote ukishajaa majukumu utaacha hekaheka mwenyewe. I hope hautakuwa late maana ule upendo wa mwanamke utakuwa umepoa au umeisha kabisa. Kinachobak ni tittle baba flan chakula tayari..anakuheshimu lakin hakupi moyo wake tena.....treasure her, life is too short.

Babamkubwa alivyofiwaga na mke wake alisemaga if I could only push back days and treat my wife better..maybe, mambo yangekua tofauti. Mama alidhoofika kwa ugonjwa wa moyo kutokana na madhila ya baba yetu. Life is too short, hold dear to the one unamuona leo...utakumbuka hii sentensi one day...TRUST ME
 
Hayo yote ni yeye kutaka kujua ya moyoni mwangu......ni sawa na wewe hapo wakakuscan akili yako na kila kitu waweke bayana
 
M
mm huwa nawaza unabaki na picha, message kweni ugundue nn?? Bro kama unacheat make sure unakuwa Huna ushahidi wowote kweny simu yako hata kama mkeo/ mumeo huwa hashiki simu yako. Ujue ipo siku utaumbuka tuu.
Mbaya usikute alishapiga mashangazi aliyonayo yakiwa Uchi
 
Wakati unaoa ulitualika pambana na haliyakooo
 
wakane hao wanawake wote na watoto wao pia mwambie wewe huvutiwi kabisa na wanawake wewe ni ni mwanamke ulie katika mwil wa mwanaume pia mwambie wewe ni lesbian ndio maana hauko na wanaume pia ila yeye tu asipokuelewa kimbia maana ni lazima ukichinje ukilala
 
Mnatuchukulia wanawake ni watoto eeh? Nakuhakikishia hivyo vyupi vitaenda kuvuliwa na jirani🤣🤣🤣, hamna msamaha wa kirahisi hivyo🤣
 
Atakusamehe ila umeacha doa pia kuwa nae makini sana kuanzia sasa Hivi.
 
Hatari fire 🔥 hyo but kwa kuwa wanawake ni kama watoto anaweza kukuelewa na yakaisha. Usiache kuleta mrejesho tu mkuu
 
Job true true, vipi mkuu umewahi kuliwa nje
Mnatuchukulia wanawake ni watoto eeh? Nakuhakikishia hivyo vyupi vitaenda kuvuliwa na Kitano🤣🤣🤣, hamna msamaha wa kirahisi hivyo🤣
 
Hapo naona umemwaga 'siasa' za kisaikolojia zaidi, lakini haujashauri chochote cha maana cha kufanya.

Kusema: 'linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe'... 'usibadili mfumo wa maisha fanya majukumu yako'.

Hapo kwa mtu aliye kwenye kibano cha fumanizi la simu, ulichokishauri hakiwezekani.

Atakaporejea chumbani, lazima ataanzishiwa timbwili litakalomfanya azungumze kuhusu swala hilo, kuna maswali na majibu lazima yatatokea ambayo hawezi kuyanyamazia.

Kuna mwanamke kutishia kuondoka nk nk, ndoulitakiwa kuliona hilo na kumshauri kutengeneza statements za kumuwin mke kisaikolojia ili hiyo hali ya mpito ipite kwanza na hayo mengine ndiyo yaendelee au siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…