Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Kwani unadhurika kiafya na kiuchumi ukinywa?
 
Unamuandama 🤣🤣🤣
Muonyeshe hiii huyo dalali wa kahawa😂
20230512_081332.jpg
 
Ka kikombe kamoja kabla ya kuanza kazi sio mbaya. Mie wkend sigusi ila siku za kazi muhimu.
 
Back
Top Bottom