Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

😀😀Sina mbavu rafiki...

anyway Tuanze kupunguza vikombe

tubakie kwenye kimoja cha dawaa


uwe na usiku mwema Rafiki

Ciao
Angalia usipoteze mbavu mkuu🤣🤣🤣

Nitajitahidi best.

Asante kwako pia rafiki.

Goodbye
 
Alafu sijawahi kuiona kahawa yenyew pure Yani mbegu zake zenyew live sijawah ziona Wala kuzigusa naziona kwenye makopo n tv😂😂😂@sato Hirosh
Hii inaitwa Robusta FAQ inalimwa bukoba. Haina wateja wengi sana duniani compared na Arabica
 

Attachments

  • IMG_20230512_000032.jpg
    IMG_20230512_000032.jpg
    168.8 KB · Views: 1
Mm isio nasukari ndio napenda zaidi. ..naweza kunywa na kitu chochote. .kwangu max ni 2 cups na maji mengi yakunywa. .kunywa maji mengi nikm una dilute ilekahawa
Hongera sana

Shukrani sana mkuu🤛🤛
 
Alafu sijawahi kuiona kahawa yenyew pure Yani mbegu zake zenyew live sijawah ziona Wala kuzigusa naziona kwenye makopo n tv😂😂😂@sato Hirosh
Inapovunwa shambani inakuwa ndani ya hivi vidude. Kitaalamu tunaita pods. Humo ndani kinakuwa na layers kadhaa maana kabla pod halijawa kavu,linakuwa ni tunda kama zabibu kwa mbali.

Hapo nilipozungusha red Ni kahawa yenyewe sasa nimeitoa ndani ya pod.
 

Attachments

  • IMG_20230511_235927.jpg
    IMG_20230511_235927.jpg
    155.5 KB · Views: 1
Hapa tunapoongea nipo katika operation,Kuna mteja wa Russia ana kontena zake kadhaa,so nimeingia night shift,nagonga kahawa.

Kama wikiend upo nikuandalie parcel yako nikuletee. Achana na Glenn na Manyanza wake,Wana wivu Sana hao wawili.
Wow…piga kazi kaka.

Sitokuwepo kaka…lakini kama utakuwa free Cheki na Chriss tu hakuna shida
 
Back
Top Bottom