Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Hivi inasaidia nn kitaalamu
Pwani niliuliza kwann Wazee wanakunywasana kahawa nikaambiwa wanatak wasilale waikeshee 😂😂
Ila kunakipind nilitak kupunguza uzito nikawa natumia nachanganya na limao na tangawiz aisee nilipungua balaa ila sijui inasaidia nn hasa mwilini
Daah waikeshee..umepinda😂
 
si heri yako Mimi nisipokunywa kvant Kwa usiku nateseka na mwisho hata saa Saba usiku nitatoka nisikilizie penye kelele za bar naenda chukua naipiga najisikia Raha sana
ILA NATAKA KUACHA NASHINDWA
Kvenga ni mbaya sana.inafuta kumbukumbu mkuu.

Badilisha hiyo gin aise..utakuwa unapoteza kumbukumbu kama umefikia hatua hiyo🥹
 
Mimi ndiyo mteja wako Sasa pale mnadani Kama wewe ni mkulima. Nanunua na kuuza duniani. Nina wateja Russia,America,Canada, UK,Japan,south Korea,south Africa,German,na sehemu zingine.

Nina mashine za kuprocess Kama xeltron color sorter 9100-LEDS RTK na 12000 LEDS CTK,Pia nina coffee gravity table,destoner na heavy plant bulkin machine.
Asante 💃💃💃
 
Ndio maana Chakorii kacheeeka🤣🤣🤣
 
I mean kutokua na hela.kabisa yaani hata mia😃😃
Hapana kwakweli na ni Kwa level hiyo ya kukosa pesa tafadhali naomba maombi hayo nikurudishie mwenyewe uone raha ya kukosa hata mia.

Una roho ngumu sana mkuu.
 
Pole sana sitakagi kua mtumwa wa chochote, before nilikua mtumwa wa movies na Yoghurt 🙈
Nashukuru Mungu I'm free now
 
Back
Top Bottom