Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

kwanza umenishangaza.
hiyo kitu ukiacha gafla lazima upate madhara coz ina addiction kuliko alcohol,
chakufanya ni kupunguza concetration yake kama ukuwa unakunywa kikombe kizima anza kunywa robo tatu for 1week,then nusu for one week, then robo for two weeks hpa unaweka cofii kidogo unajazia na maji then unastop kwa kutafuta replacent yake either muda uli kuwa unakunywa cofii agiza maziwa au uji ,juice,yourghot itakufaa
Kwanini nimekushangaza mkuu.

Asante Kwa hiki ulichokiandika mkuu nitakifanyia kazi
 
Mm isio nasukari ndio napenda zaidi. ..naweza kunywa na kitu chochote. .kwangu max ni 2 cups na maji mengi yakunywa. .kunywa maji mengi nikm una dilute ilekahawa
 

Attachments

  • IMG_20230511_200823.jpg
    IMG_20230511_200823.jpg
    19.9 KB · Views: 1
Usipoleta utaniudhi kaka🤣🤣niletee nitatengeneza scrub ya kusugulia mikuu 😉

Nitamfikisha ujumbe wako Kesho tu asubuhi Na mapema.kitimoto kinakusubiri kaka😁

Hauna decaffeinated coffee?
Hapa tunapoongea nipo katika operation,Kuna mteja wa Russia ana kontena zake kadhaa,so nimeingia night shift,nagonga kahawa.

Kama wikiend upo nikuandalie parcel yako nikuletee. Achana na Glenn na Manyanza wake,Wana wivu Sana hao wawili.
 
Back
Top Bottom