Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #241
🤛🤛🤛🤛Inapovunwa shambani inakuwa ndani ya hivi vidude. Kitaalamu tunaita pods. Humo ndani kinakuwa na layers kadhaa maana kabla pod halijawa kavu,linakuwa ni tunda kama zabibu kwa mbali.
Hapo nilipozungusha red Ni kahawa yenyewe sasa nimeitoa ndani ya pod.
Naimani kaelewa japo kidogo