Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Kwani unadhurika kiafya na kiuchumi ukinywa?
 
Ka kikombe kamoja kabla ya kuanza kazi sio mbaya. Mie wkend sigusi ila siku za kazi muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…