Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Una mda maalum wa kunywa?
Mfano saa 4 asubuhi na saa 9 alasiri?
Kama ndivyo fanya hivi:
Tafuta kinywaji mbadala na ifikapo mida hiyo kunywa au kila unapotamani kunywa hicho kinwqaji mbdala

(Lakini tuache utani cappuccino/espresso ninaipenda sana Chakorii )
 
Angalia mazingira ya Finland then uje ufute ulichoandika

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha mazingira wala nini. Ndiyo, Finland kuna baridi lakini hakuna connection na kahawa. Na si Finland tu kahawa inanywewa sehemu nyingi tu duniani. Zamani tukiuliza mbona kawawa ina bei na soko kubwa tulikuwa tunadanganywa eti inatumika kutengeza mafuta ya ndege. Yaani watu walikuwa hawaamini jinsi inavyouzwa kwa wingi kuwa yote inakwenda kunywewa.
 
Sawa shukrani
 
Kumbe shukrani maana Kuna mda ikiwa inachemka ukiingia jikoni lzima upige chafya πŸ˜‚
Aaliyyah
Ndio it can make you sneeze 🀧 na kusneeze ndio Afya yenyewe 😊

Ina faida nyingi sana Kiafya inaongeza curcumin inapokua processed by the body

Supposedly it increases the absorption in the gut of curcumin..and/or decreases the breakdown by the liver😊

Ina unavyomix ndio unapata faida kubwa zaidi πŸ‘Œ

The good thing is that both of them are yummy.. and both have benefits health wise..so it won't hurt to use them together (unless you're sensitive to one or the other in some way)

Endelea kutumia Kipenzi πŸ˜ŠπŸ‘‹
 

Tupo pamoja kwa hili nami ni tatizo langu pia unywaji wa kahawa β€˜ Gahwa’ na kwa sasa β€˜Americano’ kuliko β€˜Cappuccino’

Sema mie kuna muda ndo nakunywa hasa asubuhi mpaka saa tisa hivi mchana na nikinywa zaidi ya hapo inategemea hasa kama naingia mazoezi (gym) na hasa kama ratiba yangu ya mazoezi itakuwa kufanya mazoezi ya mguu , mgongo na kifua napenda Ku β€˜boost’ kwa kahawa

Watakao toa madhara yake kitabibu hapa watatusaidia wengi wetu wenye huu uraibu , asante mleta huu uzi kwa kuuleta hapa nasi tupate faida kutoka kwa wadau
 
Ahya

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Na hizo lips kunywa tu mamiloo πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
 

Attachments

  • Screenshot_20230511-182514_Google.jpg
    224.8 KB · Views: 7
Thank you dear
Ngoja niendelee kutumia kama kawaida ni tamu sana Yani nishasahau kutumia majani ya chai kabisa
Huwa natengeneza iriki,karafuu na izo pipipili manga na tangawiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…