Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari wana JF

Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.

Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.

Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
 
Pole sana mkuu
dah inauma cha ajabu nikashangaa gafla nyota ya kifungo cha maisha inaniandama gafla kuanzia mwaka 2021 yani vinamiminika vitoto vidogo kinakuja et ndo vinanipenda kingne kikamwambia mpaka mama yake et anishawishi nikioe kitoto kile 12 yrs dah mara kikatokea kingne cha 9 yrs mara tena cha 11 jamani nahc hapa kuna mchezo mchafu unaendelea ulimwengu wa roho mkuu
 
Back
Top Bottom