Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Unataka tukufundishe namna ya kutongoza ama?Yani nahc kuna mtu alinitupia tu jini naishia kusifiwa tu ma wadada ila nikiwafata seriotsly tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka tukufundishe namna ya kutongoza ama?Yani nahc kuna mtu alinitupia tu jini naishia kusifiwa tu ma wadada ila nikiwafata seriotsly tabu
Subiri Maghayo akitoka kifungoni alete mrejeshoKesi kama hiyo iliwahi kumkuta mjuba Maghayo Khaan yeye akaamua afocous na bange tu.
Ila wewe usijaribu hiyo kitu usije kuwehuka kama The Stress Challengerr
Huna gundu, Huna confidenceHabari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.
Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Sio ushauri mzuri kununua Malaya aendelee kupiga puli tuWewe kinachokusumbua nyege.
Nenda kanunue wala wa barabarani. Kumbuka kutumia kondom.
Unafaa Kwa matumizi.
KabisaSema ukweli wewe ni domo zege mkuu
Huyo hajajiongeza tuu..madomo zege wote tupo tinder na badooo 🤣🤣🤣🤣Domo zege🤣🤣🤣
Mshauri mwenzako 😅Mmnh
Kwahiyo wewe bado bikra?Habari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.
Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Huna matatuzo Bado unayumba Mzee,siningekua mm tuHabari wana JF

Punguza usafi bro,Boys wenzako hatuna usafi na safi tu.Habari wana JF