Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Pole sana, kuna vijana wengi sana wana experience swala hili. Hapo ukifatilia vzr utakuja gundua kuna kama kizuizi katika spirit realm haitaki uwe kwenye relationships huenda kuna mtu sahihi ambaye na yeye ana pitia hayo na mtakutana soon. Jitahidi kuona hio hali ni ya kawaida tu, kuna watu mpka wanafikisha 27 na bado hajaona nyapu. Trust in the ways of the universe 🌌 hauta jutia usiforce kuwa na mwanamke utapata msala au hata magonjwa. Stay safe and wait for your partner.
 
Kwamba hujawahi hata kutongozwa na wanawake mkuu? Kama hivyo basi una kazi kubwa ya kuji-build kuanzia muonekano, hobbies hadi uchumi.
 
Punguza vigezo hao unaowaona kama ndo level zako kiuhalisia sio level zako

Punguza nyeto kenge ww😁

Jichanganye na watu acha kujifungia magetoni mwanaizaya mkubwa ww

Shiriki mijumuiko ya kijamiii ibada, michezo, usafi na vijiweni usikae kizembe bwege wewe

Kula manzi ya kawaida wakati unasaka huyo uliyejiumbia kichwani
 
Habari wana JF

Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.

Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.

Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally..
Kijana bado upo mtoto. Endelea kula kwa mjomba na kulala kwa baba... Ukishajua jinsi ya kutafuta pexa ndo hapo hapo utaanza kupata hao mademu unaowataka
 
Habari wana JF

Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.

Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.

Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Acha kujiona na kuchagua Sana, jishushe uchukue vya chini kwanza utolee gundu, nyota ikishang'aa Ndio uanze kuchagua. Anzia chini mkuu
 
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
your overqualified!!!.
 
Habari wana JF

Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.

Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.

Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Sikia dogo embu tafuta Malaya uchape, ukichapa ndani ya mwezi tuu inatosha kukupa mukari wa kutongoza
 
Pole sana, kuna vijana wengi sana wana experience swala hili. Hapo ukifatilia vzr utakuja gundua kuna kama kizuizi katika spirit realm haitaki uwe kwenye relationships huenda kuna mtu sahihi ambaye na yeye ana pitia hayo na mtakutana soon. Jitahidi kuona hio hali ni ya kawaida tu, kuna watu mpka wanafikisha 27 na bado hajaona nyapu. Trust in the ways of the universe 🌌 hauta jutia usiforce kuwa na mwanamke utapata msala au hata magonjwa. Stay safe and wait for your partner.
Huu ni ushauri uliozama ndani sana katika maarifa ya juu sana.

Ni nadra sana kukutana na ushauri wa aina hii katika hili dimbwi la jamiiforums lililojaa mazezeta.
 
Back
Top Bottom