ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Jifunze kula pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitext kwa email please jozeeyhood@gmail.comWewe kitu chako nimeshakijua.
Humu hautapata jibu kwa sababu pamejaa mabox tu na bots.
Nitafute inbox. Nitakuelekeza.
Mpaka umeandika kwa uchungu kiasi hiki, nimesadiki pasipo shaka una changamoto ya ukweli kabisa.
Find me and let us sort this out together.
I don't promise you relief or remedy, but i promise you KNOWLEDGE and ENLIGHTENMENT for they shall be a beacon to illuminate your way.
Nipe email au njoo inbox.
Cc Mufti kuku The Infinity adriz Extrovert Lamomy cocastic mshamba_hachekwi dronedrake DR Mambo Jambo
Poa poaa usijali. Mida mida kaa karibu na email yako tuzungumze.nitext kwa email please jozeeyhood@gmail.com
Jiunge kwenye chama cha CHAPUTAHabari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.
Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Mbona Tangazo hili anko😃😃Mshauri mwenzako 😅
Gundu ni niniHabari wana JF

Mpe hata moyo kwamba aongeze bidii atampata wake 😅😅Mbona Tangazo hili anko😃😃
Habari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.
Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totall
Subiri wakati wamungu ukifika utapata aliye bora zaidiHabari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata mwenza hata wa mahusiano ya kimapenz tangu nizaliwe.
Bila sababu yoyote inayoonekana naumia sana na hili kwan hata siku za ckukuu nimekuwa nikishindwa hata kutoka kutembea coz kila ninakopita nakutana na pairs tu(hadi watoto wanakuwa pair) kila msichana niliyemuelezea feelings zangu ananiona kama mdoli tu.
Tafadhalini wana jf nisaidieni binadam mwenzenu sijui ni gundu gani (AKILI TIMAMU,MAUMBILE NA VIUNGU KAMILI,MCHESH,MSAFI,PESA ZIPO )pia wadada wengne huishia kuniita handsome lakini nikiomb mahusiano tu kosa...im confused totally...
Kama mpaka miaka 24 ameishi bila tatizo aendelee tu kupambana.. Hakuna tuzo za kujamiianaMpe hata moyo kwamba aongeze bidii atampata wake 😅😅
mpasie mwana aishi, anaonekana ndezi tu 😅Kuna demu wa kipare kaniganda simpendi kichizi nikupresie nini?
Sema upwiru nao unakabaga koo hadi unahisi kuokota makopo.Kama mpaka miaka 24 ameishi bila tatizo aendelee tu kupambana.. Hakuna tuzo za kujamiiana
Weee sema kweli😂😂Sema upwiru nao unakabaga koo hadi unahisi kuokota makopo.
Mimi nikizidiwaga na upwiru naanza kuokota makopo na chupa navaa kichwani.