ACha kumrusha roho kijana wa watu kama huna nia ya kumtunuku. Yan mpaka kaja hapa usifanye utani ukamuumiza zaid.Njoo ujaribu kwangu, huenda wee hitaji lako ni mie.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko wengi mkuu ..mwenyew nimeshapitia hayo ila nmebidi nipenyeze Hela ndo atleast nieleweke..ila nahc wanawake wanakuwq insecure wanapokuwa na bf ambaye ni handsomeYani nahc kuna mtu alinitupia tu jini naishia kusifiwa tu ma wadada ila nikiwafata seriotsly tabu