Kama kichwa cha habari husika
Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke
Mimi sio mwenyeji sana kwenye hiyo sekta ya kunyanduana bado sijakomaa hivyo so inanifanya wakati mwingine nijishtukie mno haswa kwa mtu ambae niko nae…
Navyowaambia ndani ya 24hr ninawaza ngono tu nipo job ila mawazo yangu yanafikiria kunyanduana tu..
Hakuna ninachowaza cha maana zaidi ya hilo mpk nimewaza ama nimeharibika kisaikolojia..
Mimi huwa siangalii porn wala sijawahi kujichua kwa njia yoyote ile sijui kwanini hilo tatizo linanikuta
Kuna wanawake wengine hupata hamu siku zile za hatari ama za hedhi hii imekuwa tofauti kwangu… yaani mimi kila siku kila saa ninapata hamu ya ngono
Kuna wakati hadi namlazimisha BF wangu tuonane ili tunyanduane kaka wa watu hata kama ratiba yake ngumu ataivuruga ilimradi tuonane.. wakati mwingine ananikosea ila akipiga simu moja amenimiss hata kama sina nauli nitakopa ili niende kwake
Ninaweza kumuamsha hata saa 8 usiku nataka sex unakuta anafanya tu ile kuniridhisha ila nikitoka tu kwake tena nina hamu ya sex….
Nahisi kama nimekuwa addicted na ngono tangu nimekuwa nae japo ndio hivyo nae simuelewii kama ananipenda ama la
Wenzangu mlifanya nini mkaweza kucontrol hizo genye zenu… natamani niweze kujicontrol