Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

Ila ww dada unatatizo kubwa sana la kisaikolojia na nyuzi zako unazo zianzisha humu ni ushahidi tosha.

Unahitaji msaada mkubwa sana kukaa sawa.
Mtu kusema ana nyege ni tatizo? Je angesema hana hamu ya tendo pia ungeandika hivi? Mm naona ww ndio una matatizo ya kisaikolojia
 
Back
Top Bottom