Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Na sahivi uko DUBAI kmmke 😡 kweli life linachange within a minute.Sikufa😭😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sahivi uko DUBAI kmmke 😡 kweli life linachange within a minute.Sikufa😭😭😭😭
Ushauri wangu kwako fanya unachoona kinakupa AMANI.Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.
Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.
Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.
Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!
Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.
Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲
Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.
siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭
kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣
Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.
Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭
Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.
Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.
Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.
Dah ningekufa kweli sijui ingekuwaje mwanangu🤣🤣🤣🤣Na sahivi uko DUBAI kmmke 😡 kweli life linachange within a minute.
Nimeamini Mungu akupi unacho kitaka😂😂😂 Leo hii nipo duniani huku nakula neema za nchi tu🤣🤣🤣🤣MKUU mbona hujafa turithi mkeo jitahidi basi
Ni nomaDah ningekufa kweli sijui ingekuwaje mwanangu🤣🤣🤣🤣
Wewe acha tu ningekufa mitaa ya Dubai nisingeiona😂😂😂😂Leo Dubai al Karama
Hakuna linashindikana bado zamu yangu kwenda kuishi Mbali na Bongo nahisi ntatokomea Canada huko, we Jamaa ulikua unalalamika HUMU unataka kuondoka Bongo ukaomba Msaada mtu akufanyie Mchongo atimae imetickWewe acha tu ningekufa mitaa ya Dubai nisingeiona😂😂😂😂
Imetiki kweli kabisa japo kwa jitihada zangu.... mwenyewe 🤣🤣🤣Hakuna linashindikana bado zamu yangu kwenda kuishi Mbali na Bongo nahisi ntatokomea Canada huko, we Jamaa ulikua unalalamika HUMU unataka kuondoka Bongo ukaomba Msaada mtu akufanyie Mchongo atimae imetick
Utatupa ABC kwenye uzi ulionyooka fanya km yule Jamaa alietembelea Nchi nyingi akaanza kueleza moja moja hatua kwa hatua Safari yako ilikuaje ulitumia kiasi gani ulipitia hatua gani n so on kutoka kukaa Getini km Mlinzi mpaka kufika Dubai ni hatua kubwaImetiki kweli kabisa japo kwa jitihada zangu.... mwenyewe 🤣🤣🤣
UlifarikiSikufa😭😭😭😭
Bado nadunda...kifo ukikiomba kumbe hakijiUlifariki
Nawashukuru sana...!Tulikushauri na kukupa sana matumaini Kijana. Kaza buti Wazungu husema Where there is a groly there is a story
Ulikuwa hauko siriazi tu mkuu!Bado nadunda...kifo ukikiomba kumbe hakiji
Nilikuwa natakiwa nifanyaje sasa Ili kije🤣🤣🤣Ulikuwa hauko siriazi tu mkuu!
Sasa mkuu mbinu zote hizo tulizokupa hakuna hata moja uliyoitumia?Nilikuwa natakiwa nifanyaje sasa Ili kije🤣🤣🤣
Nyie mlinipa mbinu zilizo nifanya niimarike🤣🤣 sio kufaSasa mkuu mbinu zote hizo tulizokupa hakuna hata moja uliyoitumia?