X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #421
Pole mkuu, kumbuka kukata tamaa ni dhambi kubwa sana, hata Mungu hatakupokea. Piga moyo konde, waone wale manabii wanaofanya kazi mithili ya sangoma ili wakutabirie.
Yalipitaga haya mkuu now a days nipo zangu Dubai nakula maisha...ningekufa nisingejua kumbe hapa hapa Duniani Kuna pepo wallah