X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #421
Pole mkuu, kumbuka kukata tamaa ni dhambi kubwa sana, hata Mungu hatakupokea. Piga moyo konde, waone wale manabii wanaofanya kazi mithili ya sangoma ili wakutabirie.
Worry outUtatupa ABC kwenye uzi ulionyooka fanya km yule Jamaa alietembelea Nchi nyingi akaanza kueleza moja moja hatua kwa hatua Safari yako ilikuaje ulitumia kiasi gani ulipitia hatua gani n so on kutoka kukaa Getini km Mlinzi mpaka kufika Dubai ni hatua kubwa
🤣🤣🤣Bado nadunda...kifo ukikiomba kumbe hakiji

Mboni umetoa jina na avatar umeitoa ile picha yoko halisi imekuaje?Worry out
Umerudi tena kulinda ila IDDY una vituko sana Qatar vipi umeishia wapi?Worry out
Unateseka ukiwa wapi mkuuUmerudi tena kulinda ila IDDY una vituko sana Qatar vipi umeishia wapi?
Nitaandika kuhusu Hilo siku za usoniTueleze shida yako ilikuwa nini Ili kwamba ikimtokea mmoja wetu tujue namna ya kupambana nayo.