X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #141
Hizo haloperidol, amitriptyline na folic acid ni dawa za mental issues. Ni hizi zinatumika kupoza anxiety, dementia, sonona na bipolar. Pia psychosis ambayo unayo!
Kwa sasa nakushauri utafute amitriptyline na azuma unywe na uongeze muda wa kulala.
Ipi unayo katika dalili hizi
1. Unalala sana kupitia kias Cha kawaida? (Zaidi ya masaa 12 kwa siku)
2. Huwez kulala kwa kutosha, aida unaamka amka usiku, unalala kwa shida (insomnia), unapata mawenge ukilala?
Usije jidanganya kuwa ukijiua unaepuka kila kitu maana mara nyingi matatizo uanzia ndani yaani kwenye nafsi na nafsi haifi kwaiyo hata inapoenda inaendelea kuteseka kikubwa atafute tiba na asikiri umautiMkuu ukijiua itakua vizuri kwasababu utakua ushaepukana na matatizo yote ayo
nashukuru SANA 🙏 nitajitahidiUsipende kukaa peke yako...
Acha kuwaza kufa, utakufa kweli.
NB: Changamoto za maisha Kila mtu anazake haupo peke yako.
asante sana 🙏 kwa ushauri wakoUsije Nida gamy a kuwa ukijiua unaepuka kila kitu maana mara nyingi matatizo uanzia ndani yaani kwenye nafsi na nafsi haifi kwaiyo hata inapoenda inaendelea kuteseka kikubwa atafute tiba na asikiri umauti
mkuu kuna kufirisika ujue... life is not stableNaunga mkono hoja
Mkuu,Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.
Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.
Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.
Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!
Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.
Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲
Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.
siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭
kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣
Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.
Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭
Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.
Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.
Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.
Yan mkuu acha tu .. sisemi sana! Ila hali si shwari kila Kona ila muda wa kusononeka ndo haupatkan. Prince Mhando kaza makalio hayo .. vijana hatuna pa kushika! Bora wewe uchumi wako unalisha familia ya watu wanne Milo mitatu .. Kuna watu humu tuna hali mbaya.. ila tunaamin katika kila hatua tuliyopo na tunajifunza namna ya kusonga mbele na kuyabeba maumiv yakeNa yananywewa maji Hadi yatapita tu dadadeki!!Huyu nikimkalisha nikampa Moja na mbili zangu mbona hicho kichwa anachoona kizito kitakuwa chepesi ghafla
asante sana 🙏 kwa ushauri wako nitaufanyia kaziMkuu,
Simama imara,kubali kuwa kuna vitu huenda hautovitimiza lkn wapo wengi sana unawazidi kufikia malengo na wapo wanadunda tu.
Huo ni msongo wa mawazo na unahisi km siyo mwenye bahati vile.
Kichwa kukuuma hutokana na kufikiria kutatua jambo ambalo kwa uwezo wako hasa kiuchumi inakuwa haiwezekani licha ya nia yako ya dhati ya kufanya utatuzi,sasa kufikiria hakufai hasa kwa upande wa afya ya akili.
Ukiona haiwezekani,achana na ondoa kabisa hilo wazo kichwani mwako,utakuwa salama sana.
Mkuu,usiache watoto wako wakateseka peke yao,teseka pamoja,watakuwa na tabasamu muda wote na mtafanikiwa pamoja.
Yan mkuu acha tu .. sisemi sana! Ila hali si shwari kila Kona ila muda wa kusononeka ndo haupatkan. Prince Mhando kaza makalio hayo .. vijana hatuna pa kushika! Bora wewe uchumi wako unalisha familia ya watu wanne Milo mitatu .. Kuna watu humu tuna hali mbaya.. ila tunaamin katika kila hatua tuliyopo na tunajifunza namna ya kusonga mbele na kuyabeba maumiv yake
Fanya yafuatayoMimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.
Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.
Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.
Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!
Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.
Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲
Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.
siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭
kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣
Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.
Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭
Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.
Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.
Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.
Ufanyie kazi mkuu.asante sana 🙏 kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
Inatakiwa upate azuma na hiyo amitriptyline ili isapoti kulala kwako!. Muhimu sana diet na kulala kwa sasa... Kujitebga kinawez kuwa pona yako kama unaokutana nao wehuwehu.napata usingizi mdogo haswa...! mara chache napata usingizi wenye maluwe luwe...!
Naunga mkono hojaPole sana mkuu,ila tujifunze kitu wandugu....uchumi hujakaa Sawa usilete watoto duniani....
Your sucked and F@CK£d at the same time, uko na age gani your destiny has buried somewhere, sali na kufunga sana katika ukoo wenu kuna wazee waliacha kivumbi ndo umekipokea mazima
Iyo hali ya kichwa kuwa kizito na kutokuelewa chochote ni haupumzishi ubongo just take a break tafuta vakesheni na familia yao usifanye jambo lolote zaid ya meditation ukiona hayo mingi nenda hospitali waambie wakuweke mpira wa oksijeni ata dk 15 tu
Yote kwa yote kila mtu anapitia magumu bora we unawatoto wa 3 wenzio hawana mtoto hata mmoja na wako ktk kudata zaidi yako hakuna kinachoshika hakuna tumaini, ila asikudanganye mtu tumaini lipo trust me lipo lipo
History hujirudia kuwa makini na vitanzi this time ukijaribu niagieni
May your soul stay in peace on your f@ck£d body
Usiwaze sana Mkuu utapata vidonda vya tumbo potezea hayo mawazonapata usingizi mdogo haswa...! mara chache napata usingizi wenye maluwe luwe...!
Wanao wakija kugundua baba yao amejitoa uhai watahuzunika maisha yao yote, kaa karibu na familia yako furah nao pamoja salini pamoja nendeni out ivo we ukitaka bl 10 mwenzako mwenye bl10 anamwonea donge mwenye bl 30 , furahia nafasi uliyopo uku una improve taratibu, unataka uwezo wakusaidia watu we ni MUNGU? mpe mwenye uhitaji kile ulichonacho umepika ugali kilo moja mpakulie ale kutoka sehemu yako ivo pia huwezi saidia kila mtukiuchumi siwezi kusema nina tatizo kihivyo kwani nina jishughulisha... japo sina kipato kikubwa cha kumsaidia mwingine ila nina uwezo wa kula milo mitatu...!
kwakweli sielewi kwanini nimewaza hivyo...!
Inatakiwa upate azuma na hiyo amitriptyline ili isapoti kulala kwako!. Muhimu sana diet na kulala kwa sasa... Kujitebga kinawez kuwa pona yako kama unaokutana nao wehuwehu.
Kwa sasa inabidi uongeze ratiba ya mazoez na muda wa kukaa na mwenza wako. Least mtoke KUBARIZI bariz kila wikend kama una mfuko mzuri.
Jitahidi pia kujichanganya na wanao, fatilia mahudgurio Yao shule na wafundishe usiku au kuwasaidia homework.
Nb. Azuma na amitriptyline Itakusaidia kulala so, ratiba ya kulala ikipngezeka itakupunguzia muda wa kuwaza waza kwa kias kikubwa