Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Wapi wamepunguza kukata umeme wakati huku jana na leo umeme hamnaTANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme.
Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi wanaosema ni asilimia 65 ya umeme wote ni bosheni tu ili kukuzia data za uzalishaji.
Umeme wa maji wa asilimia 30 haungeweza kuwa na athari kiasi hiki katika upatikanaji wa umeme. Bunge lichunguze hali halisi ya uzalishaji wa umeme nchini. Hizi figures tunapewa na shirika la umeme zina ukakasi ukilinganisha na hali halisi.
View attachment 2836587
Wanasema tuna installed capacity ya 1800 MW. Unaweza kuta hata 1000 hatufiki. Nadhani tunadanganywa sana kuhusu uzalishaji wa umeme wa gesi.Umeme unaozalishwa bongo ni mdogo sana no more no less. Hawa kila siku wanajificha kwenye ukame, mvua ikija wanahamisha magoli mambo yale yale.
Tulisema wizara ya nishati ni jumba bovu hata apewe nani litamuangukia tu. Biteko hii wizara itamtoa mchezoni kabisa wakati angebaki kwenye madini angekua na nafasi ya kuja kuwa full PM kama sio Rais kabisa.
Huku niliko wiki yote hii kumekuwa na upatikanaji mzuri sana. Na mvua zimepiga sana.Wapi wamepunguza kukata umeme wakati huku jana na leo umeme hamna
Hata huku mvua zimepiga sana labda useme zama yetu kukatiwa umeme maana kwa wiki hii huku imekuwa too muchHuku niliko wiki yote hii kumekuwa na upatikanaji mzuri sana. Na mvua zimepiga sana.
Loh! Biteko awe PM! Watu mnajidanganya kweli.Umeme unaozalishwa bongo ni mdogo sana no more no less. Hawa kila siku wanajificha kwenye ukame, mvua ikija wanahamisha magoli mambo yale yale.
Tulisema wizara ya nishati ni jumba bovu hata apewe nani litamuangukia tu. Biteko hii wizara itamtoa mchezoni kabisa wakati angebaki kwenye madini angekua na nafasi ya kuja kuwa full PM kama sio Rais kabisa.
TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme.
Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi wanaosema ni asilimia 65 ya umeme wote ni bosheni tu ili kukuzia data za uzalishaji.
Umeme wa maji wa asilimia 30 haungeweza kuwa na athari kiasi hiki katika upatikanaji wa umeme. Bunge lichunguze hali halisi ya uzalishaji wa umeme nchini. Hizi figures tunapewa na shirika la umeme zina ukakasi ukilinganisha na hali halisi.
View attachment 2836587
Yule Rais wenu mkweli hawakuwahi kuwaambia?TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme.
Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi wanaosema ni asilimia 65 ya umeme wote ni bosheni tu ili kukuzia data za uzalishaji.
Umeme wa maji wa asilimia 30 haungeweza kuwa na athari kiasi hiki katika upatikanaji wa umeme. Bunge lichunguze hali halisi ya uzalishaji wa umeme nchini. Hizi figures tunapewa na shirika la umeme zina ukakasi ukilinganisha na hali halisi.
View attachment 2836587
Asiweze Kwa lipi?Loh! Biteko awe PM! Watu mnajidanganya kweli.