Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Hamu ya chakula nakosa kabisa mkuu
Kuna kipindi mwili unahitaji ku detoxify au kuondoa sumu mwilini, hizi pombe ni sumu ikizidi, usi overdose mwili na sumu utatengeneza maradhi, pata likizo ya kunywa , kula vizuri, fanya mazoezi hata kutembea, kunywa maji mengi lakini kidogo kidogo inasaidia kuweka mwili sawa. Pombe kali zinamaliza sana hamu ya kula.
 
Ahsante [emoji120] kaka ntafuata ushauri wako
 
Kama pombe ni starehe kwanini mtu usinywe vinywaji kama wine, amarula etc! Yani unalewa vizuri haukunji sura na hauamki na hangover!! Anyway kila mtu anywe kinachompendeza!!
Mie nimejipata napenda pombe Kali mnoo mkuu
 
Pombe inanywewa zaidi na watu hawa,
1. Wazee wanaosubiria kifo wanajiburudisha

2. Watu matajiri sana ambao pesa inaingia kila sekunde

3. Watu wajinga sana wasiojielewa.

Kwenye hizi tatu umo namba ngapi mkuu
Namba 3 ila natamani kutoka huko
Nimeona niwe muwazi mkuu
Kuna akili Bado ninayo na nahitaji initikoke
 
Pombe inanywewa zaidi na watu hawa,
1. Wazee wanaosubiria kifo wanajiburudisha

2. Watu matajiri sana ambao pesa inaingia kila sekunde

3. Watu wajinga sana wasiojielewa.

Kwenye hizi tatu umo namba ngapi mkuu
Mkuu huwa naona michango yako humu jukwaani huwa unaushauri mzuri
Tafadhali sema jambo unaweza kunisaidia nateseka sipendi hali niliyonayo natamani niiache
 
Back
Top Bottom