Kuna kipindi mwili unahitaji ku detoxify au kuondoa sumu mwilini, hizi pombe ni sumu ikizidi, usi overdose mwili na sumu utatengeneza maradhi, pata likizo ya kunywa , kula vizuri, fanya mazoezi hata kutembea, kunywa maji mengi lakini kidogo kidogo inasaidia kuweka mwili sawa. Pombe kali zinamaliza sana hamu ya kula.Hamu ya chakula nakosa kabisa mkuu
Mwili umechoshwa na pombe kali, jiangalie utafia konyagi, bado tunakuhitajiTangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
Ahsante [emoji120] kaka ntafuata ushauri wakoKuna kipindi mwili unahitaji ku detoxify au kuondoa sumu mwilini, hizi pombe ni sumu ikizidi, usi overdose mwili na sumu utatengeneza maradhi, pata likizo ya kunywa , kula vizuri, fanya mazoezi hata kutembea, kunywa maji mengi lakini kidogo kidogo inasaidia kuweka mwili sawa. Pombe kali zinamaliza sana hamu ya kula.
Pombe inanywewa zaidi na watu hawa,Ata mie nimefikiria Ivo kaka ntakuja kufa kwaajili ya pombe
Figo zishaanza kufeli lakini usijali Professor J Foundation wapo.. [emoji23][emoji23][emoji23]Tangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
Namba 3 ila natamani kutoka hukoPombe inanywewa zaidi na watu hawa,
1. Wazee wanaosubiria kifo wanajiburudisha
2. Watu matajiri sana ambao pesa inaingia kila sekunde
3. Watu wajinga sana wasiojielewa.
Kwenye hizi tatu umo namba ngapi mkuu
Mkuu huwa naona michango yako humu jukwaani huwa unaushauri mzuriPombe inanywewa zaidi na watu hawa,
1. Wazee wanaosubiria kifo wanajiburudisha
2. Watu matajiri sana ambao pesa inaingia kila sekunde
3. Watu wajinga sana wasiojielewa.
Kwenye hizi tatu umo namba ngapi mkuu
Una urahabu wa pombe kaka?Mkuu huwa naona michango yako humu jukwaani huwa unaushauri mzuri
Tafadhali sema jambo unaweza kunisaidia nateseka sipendi hali niliyonayo natamani niiache