Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Kama sio Figo zimeathiriwa na pombe, check uric acid, ini usisahau ,malizia kucheck myo pia.

Pombe sio lishe
 
Kunywa hata wine.... mapombe makali ni hatari.., ukiua figo,ni hatari zaidi.Kinga ni bora.
 
Tangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
Punzika upended mwili nafisi ngombe haziishi utajiua leo siku ya 10 nimepunzika balaka muds wote mtaaani najisikia raha sana nimekuja almost miaka20
 
Siku muende JKCI muone watu wanavyoteseka ndio mtatambua thamani ya kuwa na afya njema
 
Punguza mtungi kijana jitahidi uwe unakunywa weekend tu pombe kali everyday ni mbaya bora ungekuwa unapga bia daily
 
Back
Top Bottom