Taja hata sehemu tatu unazozungumzia basi. acha kugeneralize vituFuraha unajipa mwenyewe mkuu na sio lazima unywe pombe
Pombe Ina ishawishi mwingi na utumiaji wa pesa nyingi za bila mpangilio
Unalewa kila mtu Bar ni rafiki yako utafikiri mnajuana miaka kibao na unaweza hata kumlipia pombe kiasi chake
Zipo sehemu nyingi unaweza ukaenda na kufurahi bila kulewa
Kama unaona pombe ni nzuri labda ungetengeneza aina yako ya Bia na kuwauzia hao
Ni wazo tu
Mipango mingi halafu hakuna nidhamu ya matumizi.Na ndo kundi la watu wenye cash
Then life goes onMipango mingi halafu hakuna nidhamu ya matumizi.
Pesa in,
Pesa Out.
Yaani kama umetembea na card ndo kabisa. Siku hizi Bar wana machine unajikuta asubuhi umechoma mpaka 300,000 huku unatumia simu kama spider web. Madeni kibao, friji lipo empty,viatu vimeanza uchanika n.k
Taja hata sehemu tatu unazozungumzia basi. acha kugeneralize vitu
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Ila kama kuna ukweli..last week naenda town kuna mdada akaniona akawa ananiita .niko naye kwa group fulan..sijamzoea kivile zaidi ya kuonana kwa mikutano yetu.. akaniambia huwa unakunywa? Nikqmwambia uliza swali jingine...bas akafurahi..tukakaa bar ..yaan tulikunywa wine chupa 3@14000! Yaan wine 3 ndani ya masaa 2 tumefuta...imaginr na tukala...! Hahaa lakini kwenu nyie wasoda mngetumia 3000..soda 2 na mishikak 5@200🤸♂️🤸♂️Naunga hoja kabisa,,pesa zao si za mawazo mawazo kabisa.
Mimi mpk leo nimegomaga eti mtu aniambia niende mbuga za wanyama unajikuta umekata 1m kisa kuchek wanyama!...msukuma mm bado haijaclick aise🤣! Bora niende lodge classic nilewe nilale huko...Taja hata sehemu tatu unazozungumzia basi. acha kugeneralize vitu
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Hawana cash. Sema kipaumbele chao cha kwanza ni pombe.Na ndo kundi la watu wenye cash.
Alikua ameshachangamka huyo, swali gani hilo huwa unakunywaga??? Ila dah mishikaki 5@200 ni ile ya watoto wa primary au?? Hahahahah wape heshima kidogo wajaza nzi.Ila kama kuna ukweli..last week naenda town kuna mdada akaniona akawa ananiita .niko naye kwa group fulan..sijamzoea kivile zaidi ya kuonana kwa mikutano yetu.. akaniambia huwa unakunywa? Nikqmwambia uliza swali jingine...bas akafurahi..tukakaa bar ..yaan tulikunywa wine chupa 3@14000! Yaan wine 3 ndani ya masaa 2 tumefuta...imaginr na tukala...! Hahaa lakini kwenu nyie wasoda mngetumia 3000..soda 2 na mishikak 5@200[emoji2223][emoji2223]
Endelea kujifariji.Hawana cash. Sema kipaumbele chao cha kwanza ni pombe.
Wakipata pesa ni pombe kwa kwenda mbele.
Unachezea ela.yaani unakula nyama choma na fanta orange [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapata intestinal obstruction