Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Alikua ameshachangamka huyo, swali gani hilo huwa unakunywaga??? Ila dah mishikaki 5@200 ni ile ya watoto wa primary au?? Hahahahah wape heshima kidogo wajaza nzi.
Nyama kwanza haisagiki haraka ..hahahahaha..yaani unakula nyama choma na fanta orange 🤣🤣🤣 si utumbo utajifunga mkuu
Hahahahahaa....umeuaKwa ugunduzi huu uliofanya ujengewe Sanamu kabisa makao makuu ya nchi na usindikizwe na IGP ukapige picha na Rais wa nchi ikulu.
Japo uliwahi kukiri kuwa ukiwa mtungi unafika orgasm kirahisi [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2]Tunakuwaga na furaha kwa wakati ule ila ukiwa sober unajikuta tu unatafakari huzuni inarudi upya.
Mkuu furaha unaweza kuicreate tu mwenyewe
Just choose to be happy bila kutegemea exterior influences
Pia Tubadili jina la lile soko pale Dodoma, tuweke jina lakeNaomba kamati ya walevi ikutafutie ulinzi wa haraka sana hapo ulipo.
Walevi tunaishi nao humu humu na tunawajua mishe mishe zao.Endelea kujifariji.
Connections kibao na New friends e'dayHabari ya leo wakuu.
Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.
Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.
Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.
Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.
Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.
Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.
Pia kundi hili lina umoja.
Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.
Uzuri wa maeneo ya bar.
Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
wetonga na bajeti avae 🤣 🤣Walevi tunaishi nao humu humu na tunawajua mishe mishe zao.
Kwanza siku hizi pesa imekuwa ngumu ndio maana wanakunywa SPIRITS ( Konyagi, Kvant ) ili walewe mapema. Pesa ya kulewa bia tupu hawana.
Uko sahihi wanaokunywa kama sehemu ya maisha wanaienjoy coz hapa hatuzungumzii wanaokunywa kuondoa stress.Mimi nilichojifunza ndani ya miaka 20 ya kula tungi. ni fanya pombe rafiki yako. Usiwe unakunywa pombe ukiwa na mawazo, furaha, au huzuni. Wewe gonga nyakati zote.
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishatoa fungu nimempatia mrangi na BehaviouristNaomba kamati ya walevi ikutafutie ulinzi wa haraka sana hapo ulipo.
Ni kweli lakni ndiyo naona wana pesa zaidi mjini mkuu, ukienda bar magari yamepangana, na unaona wanaokuja ni watu wazito wazito.Mipango mingi halafu hakuna nidhamu ya matumizi.
Pesa in,
Pesa Out.
Uko sawa mkuu, mtu unafanya upendacho , ila tu nimejaribu kupiga picha tunapokuwa bar kundi hili huonekana kuchangamka balaa.Hapa duniani usipojiamini utabaki fata upepo hata ukinywa soda mbele ya walevi ukajiamini watakuheshimu na mlevi akinywa pombe mbele ya wanywa soda hakuna shida kikubwa jiamini na heshimu mtu.
Mie soda nakunywa na wine zenye asilimia kazaa za pombe nakunywa na silewi na hawanambii kitu ambao wanakunywa wakiona nawabana wajikusanye wakanywe huko .
Maisha sio mpaka ufanye kitu unywe pombe ndio uonekane umekua hlf hii ipo kwa waswahili sana.
Halafu wewe.Naunga mkono hoja kabisa 100%
Muda mwingine mipango mizuri watu hukutana wanapokunywa Pombe (kwa kiasi)
Ile habari sio kawaida aise ..! Ni noumer!Japo uliwahi kukiri kuwa ukiwa mtungi unafika orgasm kirahisi [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2]