Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Kundi la soda sie mabahili sana akikununulia moja biashara kwisha tena kwa mbinde kabisa hata nyama choma hawezi kukupa ofa tena.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukinywa Pombe utam wake unatengenezwa kwenye ubongo pale inapobadili akili ya kawaida kwenda kwenye akili ya kilevi aka akili iliyochangamka, soda sasa yenyewe ni maji yenye gesi ukimaliza chupa moja tu tumbo linajaa inakukinai kabisa kuendelea na nyingine..
 
yaani unakula nyama choma na fanta orange [emoji1787][emoji1787][emoji1787] si utumbo utajifunga mkuu
Ha ha ha ha mkuu shida tu, ndiyo hivo hivo coz wadau wanasema furaha ni kuitengeneza mwenyewe so huwa tunajifariji kwa Cocacola na pepsi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kundi la soda sie mabahili sana akikununulia moja biashara kwisha tena kwa mbinde kabisa hata nyama choma hawezi kukupa ofa tena.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaa.
.nadhan mtakua na mijengo kila mkoa🥵
 
Kwa ugunduzi huu uliofanya ujengewe Sanamu kabisa makao makuu ya nchi na usindikizwe na IGP ukapige picha na Rais wa nchi ikulu.
Mkuu wazee wa kinywani hata uso wao unaouna kabisa ukiwa na nuru mkiwa bar.
 
Mkuu naona umeanza kuwatamani walevi
Sijawatamani mkuu ila nimejaribu kusema kile ninachokiona tukiwa bar, hata matangazo yao kwenye Tv yanakuwa na msisimko zaidi kuliko ya Fanta orange[emoji2359][emoji2359][emoji2359]
 
Sijawatamani mkuu ila nimejaribu kusema kile ninachokiona tukiwa bar, hata matangazo yao kwenye Tv yanakuwa na msisimko zaidi kuliko ya Fanta orange[emoji2359][emoji2359][emoji2359]
😂😂😂Sawa mkuu
 
na ndio wazee wa kanisa........
Uko sahihi kabisa, kuna babu yangu mmoja hivi, ni mzee wa kanisa kitambo lakini kinywaji anapasha kwa staha bila shida kabisa.
 
Uko sahihi kabisa, kuna babu yangu mmoja hivi, ni mzee wa kanisa kitambo lakini kinywaji anapasha kwa staha bila shida kabisa.
unywaji unasaidia akili pubambanua namna ya kuzitafuta kihalali.......
 
Umechelewa sana kufaham hili kaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…