Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtu wa soda (mjaza inzi) ila naunga mkono hoja. Sisi watu wa soda tumepooza kama mkojo wa ngedere. Vikao vyetu ni nusu saa tu tumeshamaliza maongezi tunaanza kuangaliana tu hamna cha kuongea. We angalia ata harusi ikikosa pombe inavyodorora kunakua hakuna vaibu kabisa. Mi ata nikienda sehemu mfano club, yani ule mziki naona kama kero saa tano nimeshaanza kuaga!
Mkuu pole kwani uliko huruhusiwi kusikiliza mziki, au kwenda club,
Karibu sana, huwa ukipiga mambo yetu yakaanza kukaa sawa basi yanavuruga sensors zote zinaanza kutuma wrong signal kwa control box.... basi hapo ni full shangwe na kusahau kila shida ya dunia...
Sawa sawa mkuu nikajuwaa wanakunywa wanaume kabla ya kwendaa kupiga mambo maana nasikia tende ukichanganya na maziwa ni hatari sanaaaaSio kilevi mkuu..ni majuic ya wadada wa mujini tu mbwembwe nyiingi
Nasikia hii wanakunywa wa kaka wa mjini kabla ya kwenda kukutana na mwanamke maana nasikia ukichanganya tende na maziwa ni hatari sana sijui kama ni kweli sijawahi kujaribuSijaelewa
Wanywaji tunajielewa na tuko smart tofauti na wanavyotuchukulia!!Huo sasa ni unywaji wa kimasikini mkuu na usiokuwa na heshima.
Asilimia 90 ya wanaume bususani wenye uwezo wanakunywa,,kuanzia wabunge,,mawaziri,,marais wote na wanataaluma maprofesa,,madaktar wanakunywa sasa mtu atasemaje hili kundi siyo smart.Wanywaji tunajielewa na tuko smart tofauti na wanavyotuchukulia!!
Siyo kweli stori tu hizo.Nasikia hii wanakunywa wa kaka wa mjini kabla ya kwenda kukutana na mwanamke maana nasikia ukichanganya tende na maziwa ni hatari sana sijui kama ni kweli sijawahi kujaribu
Nimesikia sana mjini wanafanya hivi ndio maana ikabidi niulize kwanza kama kweli au lah.....Siyo kweli stori tu hizo.
Na mimi sipo mjini.
Hapana. Fununu za kuwasaidia kuuza juisi zao kwa kasiNimesikia sana mjini wanafanya hivi ndio maana ikabidi niulize kwanza kama kweli au lah.....
Sawa sawa ndugu yangu hapo nimekuelewa kabisa wala hamna neno kabisaaaHapana. Fununu za kuwasaidia kuuza juisi zao kwa kasi
Nadhani italuwa hivyo kabisaa ndugu yangu wala hujakosea kabisaaa......Hapana. Fununu za kuwasaidia kuuza juisi zao kwa kasi
Umri
Mm nakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama[emoji23][emoji23][emoji23] juzi kati nmepata pigo kubwa sana . nipata homa ya ghafla kwenda hopstali Dr ananiambia natakiwa nisamame kunywa pombe niwe nakunywa bia mbili tu kwa wiki[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Naomba kamati ya walevi ikutafutie ulinzi wa haraka sana hapo ulipo.
Hahahahaa unajistukia tu bwana...! Mimi sipend kwenda band ndo huko kuna age zetu..sema sivutiwi tu na band yale mangoma nahisg kelele! Mm nikipata nafasi naenda sana tu club najimix vyema kbs....! I lov dancing alot aise..ila ntaachaAisee kumbe swala la umri linatutesa wengi. Mi mwenyewe siku izi nikienda club najiona kabisa niko in the wrong place maana nakutana na vitoto ambavyo ingepasa viniite baba. Yaani hata kuzama dancing floor hua naona miyeyusho. Japo kuna wazee zaidi yangu hua nawakutapo.