Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Nahis wanywaji ndiyo wanaenjoy coz anakunywa na bado anabaki anajielewa ila mlevi huyu kuna muda anazima mpaka abebwe kabisa.
Sasa huyo sii mnywaji ila mlevi,nao pia Wana viwango au madaraja.
 
Ha ha ha ha sie inaonekana ni ngoma ya watoto haikeshi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni mtu wa soda (mjaza inzi) ila naunga mkono hoja. Sisi watu wa soda tumepooza kama mkojo wa ngedere. Vikao vyetu ni nusu saa tu tumeshamaliza maongezi tunaanza kuangaliana tu hamna cha kuongea. We angalia ata harusi ikikosa pombe inavyodorora kunakua hakuna vaibu kabisa. Mi ata nikienda sehemu mfano club, yani ule mziki naona kama kero saa tano nimeshaanza kuaga!
 
Kuna jamaa alisema ukishapiga beer kadhaa hata barmed aliyekuwa mbaya anaanza kuwa mrembo.
Karibu sana, huwa ukipiga mambo yetu yakaanza kukaa sawa basi yanavuruga sensors zote zinaanza kutuma wrong signal kwa control box.... basi hapo ni full shangwe na kusahau kila shida ya dunia...
 
Gwaji boy mzee wa kusimamia ukucha[emoji16][emoji16][emoji16]
Join us.. then na connection pia utazipata huku kwenye soda mtaishia kuliwa pesa zenu na akina gwaji boy na yule mwampoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaelewa
Nasikia hii wanakunywa wa kaka wa mjini kabla ya kwenda kukutana na mwanamke maana nasikia ukichanganya tende na maziwa ni hatari sana sijui kama ni kweli sijawahi kujaribu
 
Wanywaji tunajielewa na tuko smart tofauti na wanavyotuchukulia!!
Asilimia 90 ya wanaume bususani wenye uwezo wanakunywa,,kuanzia wabunge,,mawaziri,,marais wote na wanataaluma maprofesa,,madaktar wanakunywa sasa mtu atasemaje hili kundi siyo smart.
 
Naomba kamati ya walevi ikutafutie ulinzi wa haraka sana hapo ulipo.
Mm nakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama[emoji23][emoji23][emoji23] juzi kati nmepata pigo kubwa sana . nipata homa ya ghafla kwenda hopstali Dr ananiambia natakiwa nisamame kunywa pombe niwe nakunywa bia mbili tu kwa wiki[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Hapa najikunyata tu nyumban ila kampani ya pombe inanifuata kila mara kutaka kuniletea ushauri wao wa kunirudisha kundini..
 
Aisee kumbe swala la umri linatutesa wengi. Mi mwenyewe siku izi nikienda club najiona kabisa niko in the wrong place maana nakutana na vitoto ambavyo ingepasa viniite baba. Yaani hata kuzama dancing floor hua naona miyeyusho. Japo kuna wazee zaidi yangu hua nawakutapo.
Hahahahaa unajistukia tu bwana...! Mimi sipend kwenda band ndo huko kuna age zetu..sema sivutiwi tu na band yale mangoma nahisg kelele! Mm nikipata nafasi naenda sana tu club najimix vyema kbs....! I lov dancing alot aise..ila ntaacha
 
Back
Top Bottom