Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Point no 1

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.[emoji817][emoji736]
 
Point no 2
Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.
[emoji817][emoji736]
 
Point no 3
Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.[emoji817][emoji736]
 
Point number 4
Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.[emoji817][emoji736]
 
Hitimisho yaani summary

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Hahahaa kwamba njia nyeupeee
 
Kila anayetaka kurefresh mind anaenda bar mkuu, hivyo ni eneo la wote,,uzuri wa bar matukio yote huishia pale pale wanywaji ni watu wenye kutunza siri sana.
Aisee kumbe swala la umri linatutesa wengi. Mi mwenyewe siku izi nikienda club najiona kabisa niko in the wrong place maana nakutana na vitoto ambavyo ingepasa viniite baba. Yaani hata kuzama dancing floor hua naona miyeyusho. Japo kuna wazee zaidi yangu hua nawakutapo.
 
Mm nakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama[emoji23][emoji23][emoji23] juzi kati nmepata pigo kubwa sana . nipata homa ya ghafla kwenda hopstali Dr ananiambia natakiwa nisamame kunywa pombe niwe nakunywa bia mbili tu kwa wiki[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Hapa najikunyata tu nyumban ila kampani ya pombe inanifuata kila mara kutaka kuniletea ushauri wao wa kunirudisha kundini..
Na kwa upendo wao huwa hawako tayari kabisa kupoteza mwanachama wao.
Pole sana kwa afya kuzorota mkuu.
 
Ukiona hujaacha basi ujuwe muda wa bwana haujafika,,ukifika utaacha tu automayically.

Nilikuwa mdau sana wa disco but ilitokea tu mood ikakata mpaka leo, napenda kusikiliza tu lakini kucheza sina mood tena.
Hahahahaa unajistukia tu bwana...! Mimi sipend kwenda band ndo huko kuna age zetu..sema sivutiwi tu na band yale mangoma nahisg kelele! Mm nikipata nafasi naenda sana tu club najimix vyema kbs....! I lov dancing alot aise..ila ntaacha
 
Hitimisho yaani summary

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Ha ha ha ha watu wa kinywaji nawaelewa sana, Ishalah ipo cku nitaunga mkono juhudi za kundi hili.
 
Ha ha ha ha watu wa kinywaji nawaelewa sana, Ishalah ipo cku nitaunga mkono juhudi za kundi hili.
Karibu sana lakini zingatia kanuni hizi tatu muhimu
Hata ulewe vipi
Usijisahau wewe ni nani
Uko wapi
Unafanya nini
Ukizingatia hayo hutalaza familia njaa kwasababu ya pombe
Hutajuta pombe zikiisha
Hutapata hasara
 
Ni sawa kabisa wanaopata stress baada ya kunywa hakupiga hesabu awali.

Lakini ukinywa na akili kichwani maisha mengine yataendelea.

Asante kwa ushauri muruwa kabisa.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Ukiona hujaacha basi ujuwe muda wa bwana haujafika,,ukifika utaacha tu automayically.

Nilikuwa mdau sana wa disco but ilitokea tu mood ikakata mpaka leo, napenda kusikiliza tu lakini kucheza sina mood tena.
Ila music mzuri bwana ngumu sana kuvumilia...! Yes itafika muda
 
Walevi Wana furaha ya muda mfupi na huzuni ya muda mrefu ninaishi nao na ninawaona

Nimefanya utafit walevi wengi ni watu wenye madeni kibao na Ni watu wanaopoteza uaminifu kwa haraka zaidi mlevi akiaminiwa hufanya hiyana.
Na hata unae muamin anaweza akakufanyia tukio badae kisingizio kikawa ni pombe
 
Habari ya leo wakuu.

Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.

Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.

Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.

Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.

Pia kundi hili lina umoja.

Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.

Uzuri wa maeneo ya bar.

Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Hivi hata wewe mwenyewe huoni haibu, kubwa zima linakunywa soda bar huku likitizama watu wenye furaha waki enjoy maisha?
 
Alcohol is the anaesthesia by which we endure the operation of life.
A mind of calibre of mine cannot derive its nutrients from cows.
George Bernard Shaw
 
Hitimisho yaani summary

KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Jamaa amefanya utafiti na upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walevi Wana furaha ya muda mfupi na huzuni ya muda mrefu ninaishi nao na ninawaona

Nimefanya utafit walevi wengi ni watu wenye madeni kibao na Ni watu wanaopoteza uaminifu kwa haraka zaidi mlevi akiaminiwa hufanya hiyana.
Na hata unae muamin anaweza akakufanyia tukio badae kisingizio kikawa ni pombe
Tofautisha mnywaji na mlevi.. Mnywaji ni mtu anayekunywa na anajitambua,. Mlevi ni mtu ambaye maisha yake ni pombe tu,.
 
Back
Top Bottom