Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ile habari sio kawaida aise ..! Ni noumer!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ile habari sio kawaida aise ..! Ni noumer!
Hahahaa kwamba njia nyeupeeeHitimisho yaani summary
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Aisee kumbe swala la umri linatutesa wengi. Mi mwenyewe siku izi nikienda club najiona kabisa niko in the wrong place maana nakutana na vitoto ambavyo ingepasa viniite baba. Yaani hata kuzama dancing floor hua naona miyeyusho. Japo kuna wazee zaidi yangu hua nawakutapo.
Na kwa upendo wao huwa hawako tayari kabisa kupoteza mwanachama wao.Mm nakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama[emoji23][emoji23][emoji23] juzi kati nmepata pigo kubwa sana . nipata homa ya ghafla kwenda hopstali Dr ananiambia natakiwa nisamame kunywa pombe niwe nakunywa bia mbili tu kwa wiki[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hapa najikunyata tu nyumban ila kampani ya pombe inanifuata kila mara kutaka kuniletea ushauri wao wa kunirudisha kundini..
Hahahahaa unajistukia tu bwana...! Mimi sipend kwenda band ndo huko kuna age zetu..sema sivutiwi tu na band yale mangoma nahisg kelele! Mm nikipata nafasi naenda sana tu club najimix vyema kbs....! I lov dancing alot aise..ila ntaacha
Ha ha ha ha watu wa kinywaji nawaelewa sana, Ishalah ipo cku nitaunga mkono juhudi za kundi hili.Hitimisho yaani summary
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Karibu sana lakini zingatia kanuni hizi tatu muhimuHa ha ha ha watu wa kinywaji nawaelewa sana, Ishalah ipo cku nitaunga mkono juhudi za kundi hili.
Ni sawa kabisa wanaopata stress baada ya kunywa hakupiga hesabu awali.Karibu sana lakini zingatia kanuni hizi tatu muhimu
Hata ulewe vipi
Usijisahau wewe ni nani
Uko wapi
Unafanya nini
Ukizingatia hayo hutalaza familia njaa kwasababu ya pombe
Hutajuta pombe zikiisha
Hutapata hasara
Ila music mzuri bwana ngumu sana kuvumilia...! Yes itafika mudaUkiona hujaacha basi ujuwe muda wa bwana haujafika,,ukifika utaacha tu automayically.
Nilikuwa mdau sana wa disco but ilitokea tu mood ikakata mpaka leo, napenda kusikiliza tu lakini kucheza sina mood tena.
Hivi hata wewe mwenyewe huoni haibu, kubwa zima linakunywa soda bar huku likitizama watu wenye furaha waki enjoy maisha?Habari ya leo wakuu.
Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.
Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.
Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.
Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.
Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.
Pia ni watu wenye upendo utakuta round zinazunguka na mhudumu anakaribishwa kuunga hoja, kitu ambacho sie wa soda hatuna tabia ya kukaribisha wahudumu.
Pia kundi hili lina umoja.
Mmoja ataagiza nyama, mwingine maji, mwingine nyama ili mradi meza iwe na bashasha na stori zao hunoga lakini sie wasoda huwa kama tumenyeshewa na mvua kabisa.
Uzuri wa maeneo ya bar.
Hata katika mandhari ya kawaida mazingira, eneo la vinywaji bila bia huwa la kawaida na halina bashasha nyingi, lakini maeneo ya bar kila kitu full, eneo zuri, mziki mzuro,wahudumu na kila kitu kimepangiliwa vzr sana.
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE.
Jamaa amefanya utafiti na upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23]Hitimisho yaani summary
KWA UTAFITI HUO MDOGO NAHISI KUNDI HILI LA WAPIGA MAJI NI LENYE FURAHA ZAIDI KULIKO KUNDI LA SODA NA JUICE[emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]
Utafika mbinguni mtoa mada[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Tofautisha mnywaji na mlevi.. Mnywaji ni mtu anayekunywa na anajitambua,. Mlevi ni mtu ambaye maisha yake ni pombe tu,.Walevi Wana furaha ya muda mfupi na huzuni ya muda mrefu ninaishi nao na ninawaona
Nimefanya utafit walevi wengi ni watu wenye madeni kibao na Ni watu wanaopoteza uaminifu kwa haraka zaidi mlevi akiaminiwa hufanya hiyana.
Na hata unae muamin anaweza akakufanyia tukio badae kisingizio kikawa ni pombe
Hivi hata wewe mwenyewe huoni haibu, kubwa zima linakunywa soda bar huku likitizama watu wenye furaha waki enjoy maisha?