Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

Chochote kile alichokiharamisha Mwenyezi Mungu kina madhara, sio tu kiafya na hata kuporomoka kiuchumia pia n.k. Nyumba zinakua hazina amani, rizki wala furaha n.k, najua watumiaji mtakuja kunipinga, lakini ukweli ndio huu.

40. VINYWAJI VINAVYOLEWESHA (POMBE) NA TOGWA.​

Written by Sh. Hafidh Al-Sawafi

624. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zayd, kutoka kwa Ibn Abbas (R.A.A.) kasema, "Mtu mmoja alimpa zawadi Mtume (S.A.W.) viriba viwili vyenye mvinyo akamwambia, “
«أَمَا عَلِمْتَ أَنَّ اللَّهَ حَرَّمَهَا»
Maana yake, “Jee, hujui kwamba Allah ameharamisha?” Akasema, "Sijui,” akamnong`oneza mtu kwa siri, Mtume (S.A.W.) akamwambia, "
«بِمَ سَارَرْتَهُ»؟
Maana yake, “Jee, umemnong`oneza kitu gani kwa siri?” Akasema, "Nimemwamrisha akauze." Mtume (S.A.W.) akamwambia, "

«إِنَّ الذِي حَرَّمَ شُرْبَهَا حَرَّمَ بَيْعَهَا»
Maana yake, “Hakika Ambaye ameharamisha kuunywa, ameharamisha uuzaji wake”.
625. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zayd, kutoka kwa Ibn Abbas (R.A.A.) kasema, "Mtume (S.A.W.) kasema, "
«لَعَنَ اللَّهُ الْخَمْرَ وَبَائِعَهَا وَمُشْتَرِيَهَا وَعَاصِرَهَا وَحَامِلَهَا وَالْمَحْمُولَةَ إِلَيْهِ وَشَارِبَهَا».
Maana yake, “Allah ameulani ulevi, na mwuzaji, na mnunuzi, na mkamuaji, na mbebaji na anaye pelekewa, na mnywaji”.

626. A-Rrabi`i kutoka kwa Ubaada bin Ssaamit kasema, "Mtume (S.A.W.) kasema, "
«لَيَسْتَحِلَّنَّ آخِرُ أُمَّتِي الْخَمْرَ بِأَسْمَاءٍ يُسَمُّونَهَا بِهَا».
Maana yake, “Watauhalalisha ulevi umma wangu wa mwisho kwa majina watakayouitia”.

627. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zayd, kutoka kwa Abu Said L-Khudriyyi (R.A.A.) kasema, "Mtume (S.A.W.) kasema, "
«مَنْ شَرِبَ الْخَمْرَ فِي الدُّنْيَا ثُمَّ لَمْ يَتُبْ مِنْهَا حُرِمَهَا فِي الآخِرَةِ».
Maana yake, “Atakaeunywa ulevi duniani kisha hakutubu ataharamishiwa Akhera”.

628. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zaid, kutoka kwa Anas bin Maalik (R.A.A.) kasema, "Siku moja nilikuwa nikimnywesha Abu Dujaana, na Abu Talha, na Ubayyi bin Ka`ab, kinywaji kilichotokana na mchanganyiko wa tende mbichi na zilizoiva, mara akaja mtu mmoja akasema, “Ulevi umekwisha haramishwa!” Abu Talha akasema, "Ewe Anas! Nenda ukakivunje hiki chombo”. Anas akasema, "Nikachukua jiwe letu la kusagia, na nikakivunja kuanzia chini mpaka kikavunjika chote”.

629. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zaid, kutoka kwa Aisha (R.A.A.H) kasema, "Mtume (S.A.W.) aliulizwa kuhusu ulevi unaotengenezwa kutokana na asali akasema, "
«كُلُّ شَرَابٍ أَسْكَرَ فَهُوَ حَرَامٌ».
Maana yake, “Kila kinywaji kinacholevya ni haramu”.

630. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zaid, kutoka kwa Abu Said L-Khudriyyi (R.A.A.) kasema,
«نَهَى أَنْ يُشْرَبَ التَّمْرُ وَالزَّبِيبُ جَمِيعًا، وَكَذَلِكَ كُلُّ خَلِيطَيْنِ».
Maana yake, "Mtume (S.A.W.) amekataza kinywaji cha mchanganyiko wa tende na zabibu, na pia kila chenye michanganyiko ya aina mbili”.
A-Rrabi`i kasema, "Abu Ubayda kasema, "Endapo kimechachuka (kuwa kilevi), na kuharibika, lakini ikiwa kinyume na hivyo basi haina neno”.

631. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zaid, kutoka kwa Abu Said L-Khudriyyi (R.A.A.) kasema,
«نَهَى أَنْ يُنْبَذَ فِي الدُّبَّاءِ وَالْمُزَفَّتِ وَالنَّقِيرِ وَالْحَنْتَمِ».
Maana yake, “"Mtume (S.A.W.) amekataza kufanya nabidh (aina ya siki) katika kibuyu, na chombo kilichopakwa lami, na chombo kilichotengenezwa kutokana na gogo la mti, na chombo cha udongo”. (Sababu yake ni kwamba ikiwa vitatumiwa vyombo hivyo kutengenezea itapelekea kuchachuka kwa kinywaji hicho kwa haraka na kuwa ulevi).

632. Abu Ubayda, kutoka kwa Jaabir bin Zaid, kasema, "Hadithi iliyopokelewa na Abdallah bin Masoud (R.A.A.) ya usiku wa Majini, Mtume (S.A.W.) kumruhusu kutawadha kwa maji ya mchanganyiko wa maji ya zabibu, na tende imetajwa katika…." Hadithi imetajwa katika Mlango wa Udhu
Kumbe Togwa inalewesha ?
 
He he he he kumbe kuna ustadhi kaibuka kwenye uzi, karibu mkuu, tunajuwa dini nyingi hawaungi mkono kinywaji lakini bado kimeendelea kuwa kinywaji pendwa hapa mjini.

Uko sahihi kabisa mkuu,,hili kundi hawana majungu wala roho mbaya?
Yaani watu wanavyoiandama pombe utafikiri watenda maovu wote ni wale wanaokunywa pombe tu.

Hawajui kuwa wanywa pombe wanamichongo mingi sana, kupeana madili ya mafanikio ila sio kukupa hela hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri zaidi wanywaji hawana majungu . nenda sasa kwa wasio kunywa majungu kila leo unakuta mtu kaagiza fanta tangu saa saba mpaka saa kumi na mbili ana kifanta kimoja tu na hakiishi muda wote kuzungumzia watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point no 1

Lakini huwa naona ni tofauti na majilani zangu wenye kinywaji kama K-VANT, SERENGETI, KONYAGI NA VINGINEVYO.

Kundi hili huonekana lenye furaha, bashasha na matumaini mapya ya maisha kuliko wafanywa soda.[emoji817][emoji736]

3CC78A17-05E0-4042-A736-DAC730457314.jpeg
 
Sasa hapo hujatukuta sisi wavuta bangi, sidhani kama kuna mtu anatufikia kwa furaha🤣
 
Yaani watu wanavyoiandama pombe utafikiri watenda maovu wote ni wale wanaokunywa pombe tu.

Hawajui kuwa wanywa pombe wanamichongo mingi sana, kupeana madili ya mafanikio ila sio kukupa hela hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri zaidi wanywaji hawana majungu . nenda sasa kwa wasio kunywa majungu kila leo unakuta mtu kaagiza fanta tangu saa saba mpaka saa kumi na mbili ana kifanta kimoja tu na hakiishi muda wote kuzungumzia watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi,, nafikiri wanaokunywa ndiyo walipaswa kuwa na majibu sahihi kuwa ni furaha au laa.

Lakini wanaokunywa comment zao zinaonesha kusema ukweli kuwa suala la kunywa ni lenye kuongeza furaha, marafiki na mengineyo positive.

Lakini hali imekuwa tofauti watu wasiokunywa ndiyo wanaotoa comment negagive wakati hawajuw raha au shida ya pombe.

Hata mimi ndiyo maana nilisema ninahisi kundi hili wanaenjoy maisha kuliko sisi tunaokunywa ukwaju na soda.

Sikufikia hitisho kwa 100% kwa sijaunga hoja.

Hakuna kitu kisichokuwa na madhara kama umekifanya kwa kupitiliza, Pombe siyo shida ila shida itakuwa,mnywaji anaposhindwa kujicontrol kwa suala la pombe.

Hata chakula ukila bila mpangilio utapata magonjwa na kuwa chibonge kupitiliza.
 
Ha ha ha utafiti wenu kufanyika ni ngumu maana kupata wahusika ili ufanye uchunguzi ni ngumu kweli kweli.

Lakini nasikia stimu yake ni burudani sana balaa.
Sasa hapo hujatukuta sisi wavuta bangi, sidhani kama kuna mtu anatufikia kwa furaha[emoji1787]
 
Kitu chochote chenye mahusiano na shetani hapa Duniani kina pambe za kutosha hakuna mfano,usihadaike mwana wa kondoo ulipo ndo mahali sahihi...THAMANI YA ULICHONACHO UTAIJUA BAADA YA KUKIPOTEZA.
 
Lakini kuna dini zinasema kunywa kidogo usilewe, hivyo tuendelee kutafakari kwa kina.
Kitu chochote chenye mahusiano na shetani hapa Duniani kina pambe za kutosha hakuna mfano,usihadaike mwana wa kondoo ulipo ndo mahali sahihi...THAMANI YA ULICHONACHO UTAIJUA BAADA YA KUKIPOTEZA.
 
Tunakuwaga na furaha kwa wakati ule ila ukiwa sober unajikuta tu unatafakari huzuni inarudi upya.

Mkuu furaha unaweza kuicreate tu mwenyewe

Just choose to be happy bila kutegemea exterior influences
Ahahahahha mkuu umetisha eti just choose to be happy, kwamba unajiamulia tu unakuwa na furaha. Suala la furaha au huzuni ni unconditional actions ambazo wewe binafsi huwezi kuziinduce.......just choose to be happy teh teh teh my quote of the day.
 
jiulize mbona jambo moja linabebwa kwa namna tofauti linapowapata watu wawili tofauti?
mfano unaweza ukatukanwa ukarudishia mwingine akatukanwa akasmile na kuondoka?

its just a matter of how you program your mind,siyo swala la siku moja
 
Na ndo kundi la watu wenye cash.
Hatunaga mawazo nyumbani wakishiba na gari ikiingia sheli kinachobaki ni kwenda kumoka japo mbili tatu baridi huku nikisindikizwa na ala ya mziki mtam pembeni warembo waliovaa sketi fupi miguu ya bia na mapaja yenye kuvutia ikipishana sambamba na tabasamu adimu acha aise mnao kunywa soft kuna vitu mnakosa na hamuwezi kujua mpaka ujiunge kundini

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom