Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike.
Nadhani pengine hili linatokea baada ya pengine mirija yao ya upigaji kuzibwa aidha wanaona amekuwa kikwazo kwao kwa namna moja au nyingine.
Kassim Majaliwa ndiye Waziri Mkuu anayeifaa Tanzania yetu kwa nyakati hizi, ni mkali kidogo, anapofika mahala jasho huanza kuwatoka wabadhirifu.
Naoimba CCM na vikao vyake na mamlaka zake kutokana na hayo yanayoendelea mitandaoni isiyafuate, Majaliwa anaifaa Tanzania yetu kwa nyakati hizi.
Jumatano kareem.