Nahisi wapo watu wana ugomvi na Waziri Mkuu wetu mchapa kazi hodari

Kiukwel napinga sana mamb ya CCM ila Kweny hili la Majaliwa noo, anafanya kaz!! Nadhan ni kakikundi flan ndo kanaleta hila kwake!!
 
Machadema yamo mkuu!

Angalia coment zao humu utaelewa

Kwa akili zao kibano walichopata awamu ya tano Samia hahusiki isipokuwa Majaliwa ambae ni mdogo kuliko makamu rais
Ndio SSS hahusiki maana Kwa nafasi ya VP hakuna na fursa ya utendaji isipokuwa yeye na Mwendazake.
 

Ni jizi la kura fullstop.
 
Kumekuwa na pressure za hapa na pale kuwa Mkulu hajawahi kuunda cabinet yake, na kuna wanaomwona as PM sio 'chaguo' la mkulu aliepo.

Nadhani ni vema akavunja cabinet na kumteua PM kwa barua kwenda bungeni. Kama aliepo anapata 'neema na kibali' machoni pa mkulu, na akamuapisha, atawakata kilimi wale 'wenye wivu wa kike'.
Au kama watakuwa mmoja wa wale 'vijana wetu', basi hapo napo bunge litaamua.
Au kama akiwa ni yule manabii walio ughaibuni wanatudhanisha, basi bunge litaamua pia.

Yote katika yote, iko haja mkulu kufanya maamuzi ya kuvunja uvumi kumpa assurance kama vile alivyowataka wenye nia na 2025 wasiwaze ili safari hiyo iwe zamu ya akina mama, maana ungwe hii ni kudra za maulana.

Mchana mwema!
 
Alipovuka 2022 akiwa PM,

Hayupo wa kumtoa mwaka huu,

Unaeza ona Serikali tuliahidiwa inasukwa UPYA Bado imeshindikana kulitoa Jina lake.
 
UNGEWATAJA BASI
 
Jamaa sina hamu naye toka alipotudanya msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…