Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

Kiranga soma hiyo point No3 halafu sema Amen
Had hapa nilipofika nna miaka 28, sina kaz, sina nyumba, sina gari ila mda huu naandakia kwa ujasiri wa hali juu kabla mwaka huu haujaisha Mungu atakua amenishangaza na viwili kati ya hvo nilivoviandika ntakua namiliki!!! Time will tell ntarud kwa ushuhuda mkubwa!!! Mungu hawezi kunizalilisha.
 
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ