Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule..
So nahitaji kujua begi zake wakuu..
Screenshot_20230609-083913.png
Screenshot_20230609-084829.png

images (6).jpeg
 
Jaribu kupata orijino. Mimi nilipigwa feki likasambaratika nikiwa eapoti - matairi, huo mkono wa kushikia....vyote ghafla bin vu vikasambaratika tu ikabidi kulitia begani. Ila mashirika ya ndege ya wenzetu welewa nikaenda nikawaeleza nikalicheck in pia bure!

Nunua orijino!
 
Hapa umenipa madini mkuu, Sasa nawezaji kujua hili ni Original na hili ni fake.. maana Kama unavyojua bei ya kitu hata Kama ni kubwa haifanyi 100% kuwa OG plus magumashi ya Wabongo..
So nahitaji hints kuhusu hili maana ni Bora nitumie pesa kubwa Ila nipate kitu OG
 
Pengine kununua kwenye maduka ya kuaminika na siyo kwa machinga japo nayo siyo guarantee. Bongo hii ni shida maana watu wanakopi kila kitu yaani....Mimi nilinunua kwa Mangi tu ana kiduka chake pale Mwenge na akanihakikishia kuwa ni orijino kabisa 😬😬😬
 
Back
Top Bottom