Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

K
Kwa size ninayoitaka mm Ikiwa zaidi ya 150k siwezi itabidi nichange Brand
Wewe unataka Moja sio matatu, around 140k unapata kwa hilo kubwa
PXL_20230610_182906088.jpg


Mchina kkoo, swahili na Narungombe kama unashuka swahili na mchikichi kulia.
 
120K Kama unataka begi kweli ila kama unataka la kupiga nalo picha utapata kwa 60k
 
Jaribu kupata orijino. Mimi nilipigwa feki likasambaratika nikiwa eapoti - matairi, huo mkono wa kushikia....vyote ghafla bin vu vikasambaratika tu ikabidi kulitia begani. Ila mashirika ya ndege ya wenzetu welewa nikaenda nikawaeleza nikalicheck in pia bure!

Nunua orijino!
Original ni zaidi ya 200,000
 
Kubwa 90-120, kati 85-75, dogo 58-55k. Inategemea muuzaji amenunua kwa supplier gani.

Hilo alilobeba huyo mchezaji bei zake ni tofauti kidogo.

Angalizo mengi au karibu yote ni from china, unless ununue nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom