Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

K
Kwa size ninayoitaka mm Ikiwa zaidi ya 150k siwezi itabidi nichange Brand
Wewe unataka Moja sio matatu, around 140k unapata kwa hilo kubwa


Mchina kkoo, swahili na Narungombe kama unashuka swahili na mchikichi kulia.
 
120K Kama unataka begi kweli ila kama unataka la kupiga nalo picha utapata kwa 60k
 
Original ni zaidi ya 200,000
 
Kubwa 90-120, kati 85-75, dogo 58-55k. Inategemea muuzaji amenunua kwa supplier gani.

Hilo alilobeba huyo mchezaji bei zake ni tofauti kidogo.

Angalizo mengi au karibu yote ni from china, unless ununue nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…