Nahitaji bank statement

Nahitaji bank statement

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
164
Reaction score
242
Habar wadau,

Poleni na majukumu km kichwa Cha habar kisemavyo hapo juu, nahitaji mtu wa kunidhamini bank statement kwaajili ya matumiz ya safari ya nje.

Ambapo tutakubaliana atanitoza kiasi gani?

Kwa maelezo nicheki 0683263330
 
Haya mambo madogo sana kiongozi... una consultation fee nikusaidie chap??

Utekelezaji ubaki juu yako...!
 
Back
Top Bottom